MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Waziri Mkuu Majaliwa Ahimiza Watanzania Kufanya Mazoezi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Waziri Mkuu Majaliwa Ahimiza Watanzania Kufanya Mazoezi
Habari

Waziri Mkuu Majaliwa Ahimiza Watanzania Kufanya Mazoezi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi kama sehemu ya kuhimarisha afya zao pamoja na kuchangia mambo ya kimaeendeleo.
Majaliwa ameeleza hayo wakati akizungumza na wabunge, wadau wa Maendeleo na watanzania wa rika mbalimbali kwenye hitimisho la Bunge Marathon lililokuwa likilenga kuchangisha zaidi ya Sh.  Bilioni tatu kwa ajili ya kujenga shule ya wavulana ya bweni ya Kidato cha tano na sita  katika Kata ya Kikombo Jijini Dodoma.
Amesema Bunge kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo pamoja na wananchi, wamefanya  jambo hilo kuhamasisha watanzania kujenga shule ya mfano ya bweni ya wavulana ambayo itakuwa na huduma muhimu za kitaaluma na  kuwafanya wanafunzi watakaojiunga na shule hiyo kufurahia masomo watakayo patiwa shuleni hapo.
“Shule itakuwa na maabara nne za kisasa, itakuwa na mabweni ya uwezo wa kulaza wanafunzi 300, maktaba kubwa na ya kisasa,nyumba za walimu pamoja na viwanja vya michezo.
“Shule hii inajengwa baada ya Bunge kujenga shule ya kisasa ya mfano ya wasichana ambayo kwa sasa matokeo yake yanaonekana na hii ni kuonesha kuwa serikali inawajali watoto wa kike na kiume,” amesema.
Amesema ujenzi wa Shule hiyo ni mwendelezo wa ujenzi wa shule za kike za watoto wenye mahitaji maalumu pamoja na uboreshaji na uandaaji wa mfumo wa TEHAMA na kuzifanya kutoa masomo ya Amali.
Naye Spika wa Bunge Tullia Akson amesema Bunge linaendesha michango kwa ajili ya kuwekeza katika elimu kama sehemu ya alama ya Bunge.
“Sisi wabunge tunatambua umuhimu wa watoto wa kike na kiume hivyo sasa tunahitaji kujenga shule ya kisasa ya wavulana ambayo itakuwa na ubora unaokubalika kitaaluma,”amesema .

You Might Also Like

Wakumbushwa Kufuata Utaratibu Wa Kuboresha, kurekebisha sheria 

TEA Kukarabati Jengo La Bodi Ya Maktaba Kwa Milioni 300

Kilimo Shadidi Kinapunguza Uzalishaji Wa Gesi

TPHPA yakusanya zaidi ya sampuli 10,000 za mbegu asili

MOI Kuendesha Kambi Maalum Ya Uchunguzi,  Ushauri Wa Kitabibu Kwa Wazee

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wenye Ulemavu Wa Ngozi Wakumbukwa Kupitia FDH, Wapewa Msaada Wa Milioni 20
Next Article LHRC Kushirikiana  Na JOWUTA Kuwajengea Uwezo Wanahabari Katika Masuala Ya Haki Zao Na Sheria Za Kazi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?