MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: GST Yaelezea Mafanikio Yake
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > GST Yaelezea Mafanikio Yake
Habari

GST Yaelezea Mafanikio Yake

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage
TAASISI ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imepata mafanikio makubwa katika serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa GST Nokta Banteze amesema hayo alipokuwa akitoa taarifa ya mafanikio ya Taasisi hiyo kwa kipindi cha uongozi wa Rais Samia.
Amesema kutokana na tafiti zinazofanywa na GST, zimewezesha kuchangia sehemu kubwa ya mnyororo wa uchumi kwa kusababisha kuanzishwa kwa migodi mingi.
Pia amesema GST ina maabara ya kisasa inayotoa huduma za uchunguzi wa madini kwenye  sampuli za miamba, udongo, maji na mimea.
Amesema maabara hiyo ni  kubwa na ya kipekee ya Serikali, inaendeshwa kwa kuzingatia miongozo ya kimataifa.
Ametaja mafanikio yaliyopatikana kuwa ni kuongezeka kwa makusanyo ya ndani  kutoka wastani wa Sh. Bilioni 1.2 mwaka 2021 hadi Sh. Bilioni 2.3 mwaka 2023/2024, sawa na ongezeko la asilimia 91.32.
Pia kuongezeka kwa idadi ya sampuli zinazochunguzwa kutoka wastani wa sampuli 19,184 mwaka 2021 hadi sampuli 25,793 mwaka 2023/2024 sawa na ongezeko la asilimia 34.45.
“Ongezeko hili limetokana na maboresho makubwa ya maabara yaliyofanyika hasa katika ununuzi wa vifaa na mashine za kisasa za uchunguzi wa sampuli,” amesema.
Vile vile kuongezeka kwa bajeti ya taasisi kutoka wastani wa Sh.Bilioni 10 mwaka 2021/2022 hadi Sh.  Bilioni 110 mwaka 2024/2025 sawa na ongezeko la asilimia 1,000 kwa ajili ya kukamilisha majukumu mbalimbali ikiwemo miradi ya maendeleo.
“

You Might Also Like

TPHPA, KEM Wasaini Hati Ya Makubaliano Udhibiti Viuatilifu

Tunatatua Malalamiko Ya Wateja – Kaguo

Kipanga: Lugha ya Kichina Inakuza Diplomasia, Kuimarisha Uhusiano

VETA Yatahadharisha Changamoto ya Kuzidisha Uchanganyaji wa Chakula Cha Mifugo

Ajali Yakatisha Maisha Ya Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji TANESCO, Dereva Wake 

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article USCAF Yawapatia Mafunzo Ya TEHAMA Walimu 1585
Next Article Waajiri Wathamini Taaluma Ya Uandishi Wa Habari – Dkt. Mkoko
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CHAUMMA Kuunda Mamlaka ya Mazao ya Kimkakati – Salum Mwalim
Habari September 14, 2025
Heshima ya Udaktari Ni Mwito wa Kulitumikia Taifa: Dkt Ikomba
Habari September 14, 2025
Rais Wa CWT Suleiman Ikomba Sasa Ni Daktari
Habari September 13, 2025
Salum Mwalim: Nitarejesha Hadhi ya Kanda ya Ziwa na Kuinua Zao la Pamba
Habari September 12, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?