MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kingoba : Sheria Inawataja Waliotoa Mchango Sekta Ya Habari Ambao Sio Waandishi Wa Habari
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kingoba : Sheria Inawataja Waliotoa Mchango Sekta Ya Habari Ambao Sio Waandishi Wa Habari
Habari

Kingoba : Sheria Inawataja Waliotoa Mchango Sekta Ya Habari Ambao Sio Waandishi Wa Habari

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: “WAPO watu ambao wametoa mchango mkubwa pengine hawajawahi kupata hata diploma, lakini ukiwataja hapa Tanzania kila mtu anajua mchango wake ni wa aina gani,”.
Mjumbe wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari Tanzania, Mgaya Kingoba, ameeleza hayo alipokuwa akijibu swali aliloulizwa na Mtangazaji wa Crown Salum Kikeke kuhusu bodi hiyo itamtambuaje mtu mwenye uzoefu ambaye hana elimu ya Diploma ya Uandishi wa Habari na kuendelea.
Amesema sheria inataja watu ambao wametoa mchango kwenye maendeleo ya sekta ya habari Tanzania, kwamba wataangaliwa kwa mujibu wa sheria inavyotamka.
“Kwa sababu kwenye hiyo sheria, Inawataja watangazaji, waandishi wa habari, watayarishaji wa vipindi na wana vyuo wote wametajwa.
‘” Kwa hiyo hatutatoka kwenye ile sheria ya habari kwa kuwa sheria imetuongoza huyo anayeitwa mwandishi wa habari ni nani,” amesema.
Kuhusu leseni kwa mwandishi wa habari amesema inalipiwa Sh. 50,000 kwa miaka miwili, baada ya hapo mwandishi anaomba tena.
“Ipo kwenye mfumo wa kadi inayokuwa rahisi kusomeka kwenye mifumo ya kisasa. Itatolewa badala ya Press Card,” amesema.
Bodi ya Ithibati ya Wanahabari Tanzania imeundwa kwa mujibu wa sheria , lengo kuu ni kukuza taaluma ya waandishi wa habari.

You Might Also Like

Serikali kushirikiana na Wadau usimamizi Taka za Plastiki

TRA Kuzindua Boti Za Kisasa Kudhibiti Bidhaa Hatarishi

Wanafunzi UDSM, MUM Kushiriki Fainali Ya Kimataifa Mashindano Ya Chinese Brigde

Tanzania Kwa Mara Nyingine Mwenyeji Kongamano La eLearning Afrika

Theluthi mbili ya nguvu kazi ya taifa ipo kwenye kilimo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Majaliwa Ataka Yatolewe Mafunzo Yanayozingatia Soko La Ajira
Next Article Matumizi Holela Ya Vilevi Hatari Kwa Watumiaji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Teknolojia Mpya Ya Uchomeleaji Yaleta Mapinduzi VETA Dodoma
Habari July 12, 2025
Tume Yapongeza OCPD kwa Mabadiliko ya Sheria
Habari July 12, 2025
Johari Ataka Ufasili wa Sheria za Uchaguzi Ukamilike
Habari July 12, 2025
OCPD Nguzo Kuu ya Utungaji Sheria – Dkt. Ndumbaro
Habari July 12, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?