MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kamati Ya Bunge Yakagua Mradi Wa Nyumba NSSF
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kamati Ya Bunge Yakagua Mradi Wa Nyumba NSSF
Habari

Kamati Ya Bunge Yakagua Mradi Wa Nyumba NSSF

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Ridhiwani Asifu Ustahimilivu NSSF
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM: KAMATI ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii,  imetembelea na kukagua Mradi wa Nyumba za Mtoni Kijichi awamu ya Tatu unaomilikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Fatma Toufiq amepongeza uwekezaji huo wenye tija ambao utawezesha wakazi wa jijini Dar es Salaam kupata makazi bora yaliyopo katika mradi huo.
Amehimiza katika eneo hilo kuwepo na Zahanati, Maduka na maeneo ya michezo kwa ajili ya watoto katika ili wapangaji waweze kupata huduma mbalimbali za kijamii kwa karibu.
Awali akizungumza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, amesema NSSF imeendelea kuwa stahimilivu kwa kusajili idadi kubwa ya Wafanyakazi kwenye sekta binafsi.
Naye Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba amesema mradi wa Nyumba wa Mtoni Kijichi tayari umetoa makazi kwa familia 390 ambapo nyumba zimenunuliwa.
Pia, amesema idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka na kufikia familia 1,105 pindi nyumba zote zitakapo kamilika na kuuzwa, hivyo kuchangia katika kupunguza uhaba wa makazi kwa wakazi wa Dar es salaam.

You Might Also Like

Watu Milioni 300 Afrika Kutumia Nishati Ya Umeme Ifikapi 2030-Biteko

HATUNA HURUMA NA WADANGANYIFU KWENYE MITIHANI – WAZIRI MKENDA

Changamoto ya uelewa mwiba kwa wasafirishaji Comoro

Mama Mchumgaji TAG Zinga, Asheherekea Siku Ya Kuzaliwa Na Watoto Yatima, Mazingira Magumu

Malecela: Nitakuza Vipaji, Nitafutia Vijana Ajira Dodoma Mjini

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mbunge Wa Kibamba Mtemvu. Ajitokeza Kujiandikisha, Kuboresha Taarifa Zake
Next Article NSSF Yajivunia Kasi Ya Ufanisi Na Mafanikio Miaka Minne Ya Rais Samia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Viongozi Watakiwa Kuweka Haki Mbele Katika Kusimamia Masuala ya Wafanyakazi — COWTU (T)
Habari November 25, 2025
Huduma za Maktaba Zabadilika: Malipo Kidijitali, Usomaji Mtandaoni
Habari November 25, 2025
Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?