MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Samia Asema Mwanamke Anayo Haki Ya Kumiliki Ardhi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Samia Asema Mwanamke Anayo Haki Ya Kumiliki Ardhi
Habari

Samia Asema Mwanamke Anayo Haki Ya Kumiliki Ardhi

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Danson Kaijage

DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hakuna sheria inayomkataza mwanamke kumiliki ardhi kwani naye ana haki kama ilivyo kwa mtu yoyote yule kwa kuzingatia taratibu za nchi.

Samia ametoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ardhi ya mwaka 1995 toleo la mwaka 2023 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

Amesema kuwa mwanamke naye ana haki ya kumiliki ardhi kwa kufuata misingi na taratibu na sheria za nchi kama alivyo mtu mwingine yoyote ilimradi awe ni mtanzania.

Katika hatua nyingine amewataka watendaji katika Wizara husika kuhakikisha wanapima ardhi na kuwamilikisha wananchi kwa kulipia gharama kwa mujibu wa sheria ya nchi.

Amesema kuwa wapo watu ambao siyo waaminifu ambao wanashirikiana na watu wa ardhi kwa kufuta hati za watu na kuwapora ardhi zao na kuwapa watu wengine jambo ambalo halipendezi wala halikubaliki.

Amesema ardhi itaendelea kuwa mali ya Umma huku msimamizi mkubwa akiwa Rais na ardhi itakodishwa wenyeji na kuhakikisha mipaka inatambuliwa vyema .

Kwa upande wake Waziri wa Ardhi, Deogratius Ndejembi amehimiza utekelezaji wa sera hiyo na kusema kuwa ni kati ya sera ambayo itakuwa mlinzi wa matumizi ya ardhi.

Amesema Wizara ya Ardhi na Tawala za Mikoa na  Ofisi ya Rais -Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa kushirikiana watahakikisha wanapima ardhi na kubaini nchi ina ukubwa gani na kutambua matumizi bora ya ardhi kwa faida ya vizazi vijavyo.

“Tunatambua kuwa tangu kuwe kwa mipaka ya nchi ardhi haiongezeki lakini watu wanaongezeka hivyo Wizara ina kila  jukumu la kupima kuhakikisha kila kipande cha ardhi kinapimwa na kupangiwa matumizi bora ili kuweka utaratibu mzuri wa kurithisha vizazi vijavyo, amesema. .

 

 

You Might Also Like

October 2, 2024

REA Yaupamba Mkutano Wa Kikanda Wa Nishati Bora 2024

Muswada Wa Marekebisho Ya Sheria Za Kazi 2024 Wapitishwa

OCPD Nguzo Kuu ya Utungaji Sheria – Dkt. Ndumbaro

Kituo Cha Mkutano Cha Kimataifa Mlima Kilimanjaro Kuileta Dunia Tanzania

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article NSSF Kutoa Mafao Siku Moja Baada ya Kustaafu
Next Article Serikali Kulinda Wabunifu Wa Silaha
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nishati Safi Kwa Kila Mtanzania Inawezekana – Saidy
Habari August 7, 2025
Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane
Habari August 7, 2025
Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?