MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TRA Kupambana Na Wakwepa Kodi Kupitia Bandari Bubu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TRA Kupambana Na Wakwepa Kodi Kupitia Bandari Bubu
Habari

TRA Kupambana Na Wakwepa Kodi Kupitia Bandari Bubu

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: MAMLAKA  ya Mapato Tanzania ( TRA), inafanya kazi kubwa ya kupambana na wafanyabiashara haramu wanaokwepa kodi kupitia bandari bubu.
Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuh Mwenda amesema hayo alipokuwa anatoa taarifa ya maendeeo kwa waandishi wa habari katika ukumbi wa Habari Maelezo Jijini Dodoma juu ya mafanikio ya Mamaka hiyo kwa kiindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita.
Amesema  kutokana na kuwepo kwa bandari bubu wapo baadhi ya wafanya biashara ambao huingiza bidhaa kimagendo,  wakati mwingine kuchepusha bidhaa badala ya kuvusha nje ya nchi kama vibali vinavyowataka na kurudisha bidhaa ndani.
Amesema TRA imejiimarisha zaidi katika kupambana na uhalifu huo na wale wanaobainika wanachukuliwa hatua kali za kisheria pamoja na kulipishwa faini.
Pia amesema ndani ya miaka minne Mamlaka hiyo imeweza kukusanya mapato kiasi cha Sh. Trilioni 21.2 sawa na asilimia 78.
Amesema kwa kipindi kama hicho kabla ya uongozi wa Rais Samia TRA ilikuwa na makusanyo ya Sh. Trilioni 11.12.
Amesema  kuongezeka kwa mapato hayo ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kutaka kuhimarisha mahusiano mema na wafanya biashara kwa kuboresha huduma kwa wafanyabiashara hao.

You Might Also Like

TPHPA Tumejiimarisha Kudhibiti Visumbufu Vya Mazao – Ndunguru

Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane

Rais Samia Aridhia Malipo Ya Fidia Barabara Ya Afrika Mashariki

Taasisi za Elimu Geita Zatakiwa Kuanza Programu ya Maziwa Shuleni

Miradi iliyokamilika ianze kutoa huduma- Nyamoga

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Dkt Biteko Awasili Barbados Kunadi Nishati Safi Kimataifa
Next Article Nyamhokya: Mei Mosi Ni Singida Mwaka Huu 2025
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?