MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Faru Weusi, Simba, Tembo Waongezeka Ngorongoro
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Faru Weusi, Simba, Tembo Waongezeka Ngorongoro
Habari

Faru Weusi, Simba, Tembo Waongezeka Ngorongoro

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: MAMLAKA ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imefanikiwa kudhibiti ujangili wa wanyama pori na kusababisha kuongezeka kwa asilimia 40 ya faru weusi katika hifadhi hiyo.
Hayo yameelezwa na Kamishina wa Uhifadhi  Mamlaka  ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro ,Dkt. Elirehema  Doriye wakati wa kutoa taarifa ya maendeleo kwa miaka minne  ya utawala wa Serikali iliyopo madarakani katika ukumbi wa mikutana wa Habari Maelezo Jijini Dodoma.
Amesema mbali na faru weusi kuongezeka kwa sasa hata simba wameongezeka na kufikia 188 kwenye hifadhi hiyo na tembo kuongezeka kutoka 800 hadi 1300.
Akizungumzia mafanikio katika sekta utalii amesema kuwa hifadhi ya Ngorongoro ni maeneo yanayotembelewa na watalii wengi nchini kutokana na vivutio vyake kuwa ni vya kipekee.
Anasena kuwa takwimu zinaonesha kati ya Julai 2021 hadi Februari 2025 jumla ya watalii 2,916,540  wametembelea vivutio vya utalii ndani ya hifadhi ya Ngorongoro.
Dk.Doriye amesema katika kipindi kama hicho mapato  ya Sh. Bilioni 693.9 yamekusanywa na kuingia kwenye mfuko mkuu wa Serikali

You Might Also Like

Baraza La Mawaziri La SADC Lahitimisha Kikao Chake Jijini Antananarivo

TARI Kihinga Yainua Kilimo Cha Michikichi Kigoma

Waziri Mbarawa Aagiza Adhabu Kali kwa Madereva, Makondakta Wanaonyanyasa Wanafunzi

TASAC Yashuhudia Utiaji Saini  Mkataba Wa Uendeshaji Bandari Kavu Kwala

Geita Ina Dhahabu Lakini Haina Maendeleo” – Salum Mwalim

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Asilimia 22 Ya Vijana Wanakumbwa Magonjwa Yasiyo Ya Kuambukizwa
Next Article Wananchi Wachukue Hatua Iwapo Hawajaridhika Na Huduma-TCF
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Watendaji Wakuu Waagizwa Kuifanya Dira 2050 Kuwa Mwongozo Wa Maamuzi Yao
Habari July 24, 2026
Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
Wananchi Washauriwa Kutumia  Wataalam Wa Ujenzi Kuepuka Madhara
Habari July 14, 2026
July 14, 2026
Uncategorized July 14, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?