MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Asilimia 22 Ya Vijana Wanakumbwa Magonjwa Yasiyo Ya Kuambukizwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Asilimia 22 Ya Vijana Wanakumbwa Magonjwa Yasiyo Ya Kuambukizwa
Habari

Asilimia 22 Ya Vijana Wanakumbwa Magonjwa Yasiyo Ya Kuambukizwa

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Danson Kaijage

DODOMA:Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dkt. Irene Isaka ameshauri kukata bima ya afya kwa ajili ya usalama wa afya kwani asilimia 22 ya vijana wanakabiliwa na magonjwa yasiyokuwa ya kuambukiza.

Dkt. Isaka amesema hayo wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari wenye lengo la kuelezea utekelezaji wa maendeleo kwa kipindi cha miaka minne inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Amesema utafiti uliofanywa kwa kipindi cha mwaka 2021/22 umeonyesha kuwa asilimia hiyo ya vijana wana tatizo hilo ikiwemo afya ya akili.

Kutokana na hali hiyo watanzania wote wametakiwa kukata bima ya afya ya NHIF wakati wakiwa na afya badala ya kusubiri waanze kupata tatizo la kiafya jambo ambalo haliwezi kuwasaidia kwa ufasaha kama ambavyo wangekata bima wakati wakiwa na afya njema.

Akizungumzia zaidi juu ya mafanikio kwa kipindi hicho, amesema mfuko huo umefanikiwa kuimarisha mifumo ya TEHAMA inayorahisisha utendaji wenye tija.

Amesema kuwa madai ya watoa huduma za afya yanafanyika ndani ya siku 60 ikilinganishwa na siku 120 za awali kabla ya uwepo wa mifumo

Pia amesema katika kipindi hiki cha miaka minne wamesajili wamesajili wanachama milioni 2.2

Kuhusu ukusanyaji wa michango amesema umefikia Sh. Trilioni 2.3 kwa sasa kutokana na maboresho yaliyofanyika katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita.

Amesema Sh.Trilioni 2.29  zimelipwa kwa watoa huduma waliohudumia wanachama wa NHIF, na Sh. Bilioni 91 zimelipwa kwa watoa huduma waliohudumia wanachama wa NHIF ambao ni wastaafu.

Vile vile amesema wamefanikiwa kuokoa sh Bilioni 22 kutokana na usimamizi madhubuti wa mfuko wa NHIF, fedha hiyo ilikuwa inapotea kutokana na udanganyifu wa baadhi ya wanachama

Pia amesema tayari watumishi 36 wa vituo vya kutolea huduma wamechukuliwa hatua kwa kufanya udanganyifu kwenye mfuko.

Katika mafanikio hayo amesema kuwa Mfuko una ziada ya Sh. Bilioni 95 kwa sasa ikilinganishwa na kipindi cha nyuma ambapo ulikuwa na nakisi.

 

 

You Might Also Like

Wafanyakazi fahamuni vihatarishi sehemu za kazi

Lukuvi Asema 2024 Bangi Ilivunja Rekodi, Tani Zaidi Ya 2000 Zilikamatwa

Ubovu wa Kituo cha Daladala Bunju Sokoni Watesa Abiria

Ushiriki Wa Tanzania Jukwaa La Dunia Waongeza Fursa Za Kimataifa Kukabiliana Na Maafa-Dk Yonaz

Sera mpya ya biashara irahisishe ufanyaji biashara

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mazao Bora Ya Kilimo Kutoka Tanzania Yavutia China
Next Article Faru Weusi, Simba, Tembo Waongezeka Ngorongoro
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?