MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: OUT Yasaini Mkataba Ujenzi Wa Maabara Tatu Za Sayansi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > OUT Yasaini Mkataba Ujenzi Wa Maabara Tatu Za Sayansi
Habari

OUT Yasaini Mkataba Ujenzi Wa Maabara Tatu Za Sayansi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM:  CHUO Kikuu Huria cha Tanzania ( OUT), kimesaini mkataba wa ujenzi wa maabara tatu na Mkandarasi Arm Strong Int. Ltd, ambao utakuwa ni wa miezi nane.
Makamu Mkuu wa OUT Profesa Elifas Bisanda amesema hayo katika hafla ya utiaji saini huo iliyofanyika Makao Makuu ya chuo hicho Jijini Dar es Salaam.
Profesa Bisanda amesema mkataba huo uliosainiwa wa ujenzi wa maabara hizo upo chini ya chuo hicho kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi ( HEET).
Amesema mradi wa HEET hauwezi kuwa wa maana kama vitafanyika vitu ambavyo havitaleta mabadiliko katika jamii.
“Uwepo wa mradi huu ni sehemu ya maeneo saba ya utekelezaji wa HEET. Tunalenga kujenga maabara za kisayansi, tunatambua nchi haiwezi kuendelea au kubadilika bila kuweka msisitizo kwenye sayansi,” amesema.
Amesema mkandarasa waliyeingia naye mkataba atajenga maabara tatu katika mikoa ya Arusha, Mwanza na Kigoma. Maabara nyingine zilizobakia zitajengwa na wakandarasi tofauti tofauti.
Naibu Makamu Mkuu wa OUT upande wa Taaluma, Tafiti na Huduma za ushauri. Profesa Alex Makulilo amesema mradi huo unaotekelezwa na chuo hicho kwa thamani ya dola milioni tisa.
Amesema fedha hizo zimegawanyika katika vipengele mbalimbali , kwani asilimia 75 ya mradi mzima zinaenda kwenye ujenzi, maabara saba katika Kanda saba.
Naye Mkurugenzi  Mkuu wa Kampuni ya Arm Strong Int. Ltd, Pastory Masota amesema wakandarasi ni watekelezaji wa mradi ukiooitia michakato mingi, kupitiwa na watu wengi.
Amesema wao wataweka yote waliyokubaliana katika hali halisi.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Profesa Joseph Kuzilwa amesema kuna uhusiano mkubwa kati ya uwekezaji wa elimu na ukuaji wa uchumi.

You Might Also Like

MGOMBEA URAIS WA CCM AENDELEA NA KAMPENI BABATI, MANYARA

Maliasili Yapongezwa Kwa Kutekeleza Maono Ya Rais Samia  

Sheikh wa Mkoa, ‘Wanaotoa Rushwa Msiwachague’

Chatanda: Rais Ametuletea Kiongozi Bora Atakayetusaidia Kutekeleza Ilani Ya CCM

Wakili Kanyama Achukua Fomu Mtumba

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kanisa La GCC Kufanya Maombi Kuelekea Uchaguzi Mkuu
Next Article WCF Yatakiwa Kuongeza Nguvu Kusajili Waajiri
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vita Mashariki ya Kati Vyatikisa Uchumi wa SADC, Mawaziri Watakiwa Kuchukua Hatua
Habari March 12, 2026
Mamlaka Za Mitaa Ondoeni Urasimu Katika Kuanzisha Biashara Mpya-Waziri Mkuu
Habari March 12, 2026
Ofisi Ya Taifa Ya Takwimu  Kufanya Tafiti Kwa Wakala Wa Huduma Za Fedha,Viwandani
Habari March 12, 2026
GCLA  Yanunua Mitambo Mikubwa Inayogharimu Sh Bil 32.25 Kuimarisha Uchunguzi Wa Sampuli
Habari March 12, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?