MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kuelekea Uchaguzi Mkuu, Waandishi Watakiwa Kuandika Kwa Usahihi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kuelekea Uchaguzi Mkuu, Waandishi Watakiwa Kuandika Kwa Usahihi
Habari

Kuelekea Uchaguzi Mkuu, Waandishi Watakiwa Kuandika Kwa Usahihi

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: WAANDISHI wa habari kupitia vyombo mbalimbali wametakiwa kuandika habari kwa usahihi hususani katika kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba, 2025 ili kuondoa migongano ya kisiasa isiyokuwa ya lazima.
Aidha wamekumbushwa utumiaji mzuri wa lugha ya kiswahili kwa nia ya kuikuza, ambayo kwa sasa imekuwa ikitumiwa na mataifa mbalimbali ulimwenguni.
Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, utamaduni na Michezo, Khamisi  Mwijuma amesema hayo, wakati wa kufunga mkutano wa Mwaka wa Vyombo vya Utangazaji Nchini uliofanyika Jijini Dodoma.
“Kwa sasa kuna jambo muhimu la kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu kwa ajili ya kuwachagua madiwani,Ubunge na Rais, hivyo ni vema kuandika habari kwa usahihi ” amesema.
Kwa kuwa ni mwaka wa uchaguzi. ni vyema waandishi wakafanya kazi kwa weledi mkubwa, kutumia kiswahili sanifu badala ya kuibananga lugha hiyo ambayo inaweza kupoteza maana.
Amesema kada ya uandishi ni  muhimu kwa kutoa elimu kwa ujumla wake na kuhakikisha habari zinazoandikwa, zinaandikwa kwa faida ya jamii na siyo vinginevyo.
Pia amewataka waandishi nchini kuhakikisha wanazingatia sheria na  kanuni zilizopo kwa nia ya kuwezeaha kuandika habari zenye uhakika zaidi na kuaminika.
Amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni mdau mkubwa wa habari hivyo anatarajia kuona wanataaluma hiyo wakifanya kazi yao. Kwa uhuru lakini wakiwa wanazingatia sheria,kanuni na maadili ya kazi.

You Might Also Like

Kisaro Ahojiwa Kuhusu Migogoro ya Ardhi,  Mwinje Ajitosa na Suluhisho la Miundombinu na Umiliki wa Ardhi

Jeshi la polisi kumhoji anayesambaza taarifa za uongo

Vumbi la Nyuki Lapewa Uzito Singida: Latajwa Tiba ya Asili Yenye Virutubisho 99

Ridhiwan Kikwete awasilisha taarifa mwenendo wa ulipaji mafao

Serikali kushirikiana na Wadau usimamizi Taka za Plastiki

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Rais Samia Kushiriki Mkutano Wa Wakuu Wa Nchi Ethiopia
Next Article Bashungwa Asema Wafungwa Kupewa Mafunzo Ya Ufundi Stadi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Mpunga Zazalishwa TARI Dakawa, Ifakara
Habari August 7, 2025
Mtego wa Inzi Wa Matunda Suluhisho Salama kwa Wakulima
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?