MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Baraza Kuu TUGHE Lasisitiza Haki, Wajibu Kuleta Tija Sehemu Za Kazi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Baraza Kuu TUGHE Lasisitiza Haki, Wajibu Kuleta Tija Sehemu Za Kazi
Habari

Baraza Kuu TUGHE Lasisitiza Haki, Wajibu Kuleta Tija Sehemu Za Kazi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DODOMA: WAFANYAKAZI wametakiwa kutimiza wajibu wao ipasavyo ili tija iwepo katika maeneo ya kazi.
Aidha waajiri wanapaswa kutimiza haki za watumishi wao kulingana na makubaliano katika mikataba yao.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE), Joel Kaminyoge amesema hayo alipozungumza na Waandishi wa Habari baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Baraza Kuu TUGHE kwa mwaka 2024.
Kaminyoge amesema  endapo kila upande yaani mwajiri na mfanyakazi utatimiza wajibu wake itasaidia kufanya sehemu za kazi kuwa salama, kukua kwa uzalishaji na hatimaye kufikia malengo yanayokusudiwa.
Kwa upande mwingine amesema Chama kimepiga hatua kubwa ambapo sasa kinatimiza miaka 30 tangu kilipoanzishwa.
Ametaja hatua hizo ni pamoja na huduma  za ushauri wa kisheria kwa wanachama, kuimarisha mahusiano na wadau, uwekezaji katika maeneo mbalimbali ndani ya Chama pamoja na kusimamia maslahi ya watumishi nchini.
Naye Katibu Mkuu wa TUGHE, Hery Mkunda ameeleza kuwa Chama kinapoadhimisha miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, kinajivunia kuwa mstari wa mbele katika kusikiliza kero za wafanyakazi hususani wanachama wao na kuzitafutia ufumbuzi kwa kushirikiana na serikali pamoja na wadau.
Ametolea mfano  migogoro  inapoibuka kati ya wafanyakazi na waajiri wake TUGHE imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha suluhisho linapatikana.

You Might Also Like

Wizara  Ya Maliasili Na Utalii Ilivyotamba Na Historia Ya Faru John Na Faru Fausta Mbele Ya Kamati Ya Bunge

ILO Yazindua Mwongozo Wa Habari Za Uhamiaji, Jowuta Yatia Neno

Majaliwa Aomba Watanzania Wapatiwe Mafunzo Belarus Kuendeleza Kilimo

Naibu Waziri Katambi Asisitiza Ufanisi na Ubunifu Kwenye SIDO

Zena Ahmed Said Aitaka NSSF Kuimarisha Uhamasishaji wa Uwekezaji kwa Umma

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ridhiwani Aipongeza Mahakama Kuzingatia Ajira Kwa Wenye Ulemavu
Next Article Aprili 2025 Matokeo Awamu Ya Kwanza, Maoni Dira Ya Taifa Na Maendeleo 2050 Kutolewa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mradi Wa Umeme Mpomvu-GGM Kuimarisha Upatikanaji Wa Umeme Na Kuchochea Shughuli Za Kiuchumi Geita- Salome
Habari September 4, 2026
Wahitimu 794 Wa Vyuo Vya Elimu Ya Juu Waomba Kujiunga VETA
Habari September 4, 2026
Taka za saluni zageuka dhahabu ya kijani: COSTECH yamulika safari ya David kutoka wazo hadi hataza
Makala September 4, 2026
Umeme Kubadilisha Maisha Ya Wakazi Wa Kisiwa Cha Jibondo Mafia
Habari September 3, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?