MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ruto: Diplomasia Itumike Kumaliza Mgogoro Kongo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ruto: Diplomasia Itumike Kumaliza Mgogoro Kongo
Habari

Ruto: Diplomasia Itumike Kumaliza Mgogoro Kongo

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: TANZANIA itaendelea kutoa ushirikiano katika kushughulikia mgogoro unaoendelea Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hayo pia akiwahakikishia wakuu wa nchi wa serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC).
Pia Rais Samia ametoa rai kwa jimuiya hizo mbili kuchukua hatua kuhakikisha kuwa DRC ambaye ni mwanachama wa EAC na SADC  inakuwa salama na mgogoro unaoendelea hapa nchini.
Naye Rais wa Kenya, ambaye ni Mwenyekiti wa EAC, William Rutto amesema mgogoro huo unaendelea, hautamalizwa kwa kutumia silaha bali njia ya kidiplomasi

You Might Also Like

Majaliwa Amwakilisha Rais Samia Kilele Kongamano la TEHAMA

VETA Yapaa Miaka Minne Ya Rais Samia

Tanzania Mwenyeji Mkutano wa Mafuta na Gesi, 2025

PSPTB Yatangaza Usajili wa Mitihani ya 31 ya Kitaaluma ya Ununuzi na Ugavi

Bashungwa Asema Wafungwa Kupewa Mafunzo Ya Ufundi Stadi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mkandarasi Atakiwa Kukamilisha Mradi Kwa Wakati
Next Article Kikwete: Waambieni Tunataka Maendeleo Sio Maneno
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Toleo La Sheria Zilizotafsiriwa Kwa Kiswahili Kutoka Agosti
Habari July 7, 2025
Waendelezaji Majengo 103 Kesi Ziko Mahakamani, -AQRB
Habari July 6, 2025
TSB Yatangaza Fursa Za Kilimo, Uwekezaji Wa Mkonge
Habari July 6, 2025
Elimu Ya Dawa Za Kulevya Kutolewa Kwa Wanafunzi
Habari July 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?