MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Yaahidi Kupatia Dawa Kilio Cha Ushuru Kwa Malori
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Yaahidi Kupatia Dawa Kilio Cha Ushuru Kwa Malori
Habari

Serikali Yaahidi Kupatia Dawa Kilio Cha Ushuru Kwa Malori

Author
By Author
Share
3 Min Read

Na  Lucy Lyatuu

SERIKALI imeahidi  kuwasiliana na mamlaka husika ili kukipatia dawa kilio cha ushuru kwa wamiliki wa malori wadogo na wa kati Tanzania  ili kupunguza malalamiko.

Hayo yamesema leo  Dar es Salaam na Meneja wa Usalama kutoka  Mamlaka Ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Prof Godius Kahyarara

Amesema  hayo katika mkutano mkuu wa mwaka wa chama cha wamiliki wa malori wadogo na wa k ati Tanzania (TAMSTOA).

Amesema serikali inaendelea kufanikisha kutatua changamoto za usafirishaji zinapojitokeza na kwamba inawahakikishia sekta hiyo inakuwa imara na kuboresha mazingira wezeshi katika kukuza uchumi wan chi.

Amesema kuhusu hatua za ujenzi wa reli ya kutoka bandari ya Dar es Salaam kwenda Kwala  kupeleka shehena za ujenzi ziko katika hatua nzuri  na serikali inajipanga  kuanza kutekeleza mara moja.

Aidha amesema serikali ipo katika hatua mbalimbali kuhakikisha  upanuzi  wa barabara ya Morogoro hadi Chalinze  unafanyika kwa mfumo wa ushirikiano wa sekta binafsi na umma.

Amesema inafanya hivyo kwa kuwa maendeleo yote duniani yamefanyika kwa njia shirikishi.

Amesema pia serikali ipo katika hatua mbalimbali za upanuzi wa barabara ya Mbozi hadi Tunduma ambayo kwa sasa inaonekana kuwa finyu huku magari ya mizigo yakiongezeka kwa kiasi kikubwa.

Kadhalika amesema changamoto na tofauti katika mizani hasa kutoka eneo la  Mpemba,Makambako na Iringa, serikali inafanyia kazi na  mabadiliko yataonekana siku chache zijazo.

Vilevile amesema Wizara itawasiliana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuona namna nzuri ya kuondoa malalamiko ya wao kukamatwakamatwa haswa eneo  la Mikumi Morogoro.

Aidha amesema Serikali inapinga vikali vitendo vya rushwa, hivyo inaahidi kufuatilia askari wa usalama barabarani wanaoendeleza na kwamba haitomvumilia yoyote.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa TAMSTOA, Chuki Shaban amesema  yapo Malori  26,000 yakitoa ajira 52 ,000 na kuiomba  serikali kuwa na mazingira rafiki ya sekta ya usafirishaji.

 

Amesema malori hayo husafirisha mizigo yapatayo  192,996 na magari hayo hutumia mafuta lita milioni 62.4  yakinunuliwa kwa sh milioni 187 kwa siku,hivyo ni sekta yenye mchango mkubwa kwa uchumi wa nchi.

Aidha  wameiomba serikali kupanua barabara inayoanzia bandarini  Dar es Salaam hadi Chalinze mkowa wa Pwani kwa kuwa ni nyembamba yenye kuongeza msongamano barabarani.

 

“Ni wakati sasa serikali kuona umuhimu wa kutafuta barabara nyingine  za pembezoni  hata kama nimza vumbi ziweze kutumika ili kundoa msongamano,” amesema  Shaban

 

You Might Also Like

Miradi Dodoma Yamkuna Rais Samia

Hatuwezi Kukwepa Matumizi Ya Bioteknolojia – Dkt.Nguvila

Ridhiwani: Maandalizi Mei Mosi  Yafikia Asilimia 88

Samia akisalimiana na Rais wa China

Serikali Yawapeleka Wauguzi 101 Nchini Saudi Arabia

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wanafunzi Wawili Wajiteka Ili Wapate Pesa Toka Kwa Wazazi wao
Next Article Uzinduzi wa Ubia Wiki Ya Ubunifu Tanzania 2025 Wafanyika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?