MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: NHIF Kuingia Makubaliano Na Mawakala Usajili Wa Wananchi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > NHIF Kuingia Makubaliano Na Mawakala Usajili Wa Wananchi
Habari

NHIF Kuingia Makubaliano Na Mawakala Usajili Wa Wananchi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), unaingia makubaliano na mawakala nchini ili kufanikisha usajili wa wananchi wengi zaidi.

Mkurugenzi Mkuu NHIF, Dkt. Irene Isaka amesema hayo katika Kikao Kazi kati ya mfuko huo, Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA), pamoja na Mawakala nchini.

Amesema usajili kwa njia ya mawakala unatarajiwa kuanza Februari mwaka huu 2025,  ambao utawafikia wananchi katika maeneo yote nchini.

Amesema serikali ni kuhakikisha wananchi wote wanakuwa ndani ya Mfumo wa Bima ya Afya hivyo Mawakala watasaidia kufikia malengo hayo.

“NHIF tumeona umuhimu wa kufanyakazi kwa kushirikisha mawakala ili wananchi waweze kufikiwa walipo na kusajiliwa kwenye bima  ya afya ili waweze kupata huduma za matibabu bila kikwazo cha fedha.

“Kwa kaya zisizo na uwezo, Serikali imeweka mazingira wezeshi ili nao wapate Bima ya Afya. Nawaomba sana tuunge mkono juhudi za Serikali chini ya uongozi mahiri wa Rais wetu Samia Suluhu Hassan kuwa na Bima ya Afya kwa wote,” amesema.

Kwa upande wa mawakala hao, kwa pamoja wameupongeza Mfuko kwa hatua ya kuwashirikisha katika eneo la kuwafikia wananchi lakini pia maboresho makubwa ambayo yamefanyika katika mifumo yake na vifurushi vipya ambavyo vina huduma nyingi ikilinganishwa na awali.

 

You Might Also Like

Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi Wajitosa Kugombea Ubunge

Mradi wa Maadili Katika Utafiti Wa Binadamu Na Huduma Za Afya Wafanywa UDSM kwa Ushirikiano wa Kimataifa

Hazina yaanza kuwalipa wanachama 465 wa TALGWU

Walimu Kupatiwa Mafunzo ya Tehama

Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Usafirishaji Shehena Waingiza Dola Bilioni 3.54
Next Article Kamati Ya Bunge Ustawi Na Maendeleo Ya Jamii Yaridhishwa Wananchi Wanavyofikiwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Viongozi Watakiwa Kuweka Haki Mbele Katika Kusimamia Masuala ya Wafanyakazi — COWTU (T)
Habari November 25, 2025
Huduma za Maktaba Zabadilika: Malipo Kidijitali, Usomaji Mtandaoni
Habari November 25, 2025
Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?