MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mrithi wa Kinana Kupatikana Mkutano Mkuu wa CCM
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mrithi wa Kinana Kupatikana Mkutano Mkuu wa CCM
Habari

Mrithi wa Kinana Kupatikana Mkutano Mkuu wa CCM

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu

DODOMA: MKUTANO Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), unatarajiwa kumpata mrithi wa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)-Bara, Abdulrahman Kinana.

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla, amesema hayo leo, Januari 7, 2025  jijini Dodoma alipozungumza na waandishi wa Habari, ameongeza kuwa mkutano huo unaotarajiwa kufanyika Januari 18 na 19, mwaka huu jijini Dodoma.

Amesema nafasi hiyo ya Makamu Mwenyekiti Taifa, iliyoachwa wazi na Kinana, mrithi wake atachaguliwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu huo unaotarajiwa kufanyika.

Makalla amesema kabla ya Mkutano Mkuu, kutakuwa na vikao vya Kamati Kuu ya CCM vitakavyofanyika Januari 16, mwaka huu, kama sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu

Julai 29, mwaka jana Kinana alijiuzulu wadhifa huo baada ya kuomba mara kadhaa kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan ambaye aliridhia ombi hilo.

You Might Also Like

Soko La Kisasa La Nyamachoma Lazinduliwa Vingunguti

Fema Mining & Drilling Mfano wa Kuigwa – Musukuma

Jaffo Aagiza Kufufuliwa Vilivyokuwa Viwanda Vya Serikali

Matukio Mbalimbali Katika Picha Baada Ya Waziri Mkuu Kuwasilisha Makadirio Ya Mapato Ya Bajeti

Vijana 26 Kwenda Kujifunza Mafunzo Ya Vitendo Nje Ya Nchi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Nchemba Afungua Mafunzo Ya PAC
Next Article Ongezeni Uwajibikaji,Nidhamu, Utendaji Kazi – Bashungwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?