MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kilimo Shadidi Kinapunguza Uzalishaji Wa Gesi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kilimo Shadidi Kinapunguza Uzalishaji Wa Gesi
Habari

Kilimo Shadidi Kinapunguza Uzalishaji Wa Gesi

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: UTUMIAJI wa maji kidogo katika ulimaji wa zao la mpunga unapunguza uzalishaji wa gesi kutoka katika zao hilo, pia kuwezesha maji mengine kutumiwa na wengine.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Dkt. Thomas Bwana amesema hayo katika kongamano la tisa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu pamoja na maonesho linalomalizika jijini Dar es Salaam, ambalo liliandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech).
Dkt. Bwana amesema utumiaji huo wa maji kidogo unafanywa kupitia Kilimo Shadidi cha mpunga.
” Kwa kitendo cha kutumia maji kidogo unapunguza uzalishaji gesi kutoka katika mpunga, pili unasaidia haya maji kidogo unayotumia, maji mengine yanaweza yakatumika na watu wengine wanaolima mpunga,” amesema.
Amesema kwa kutumia teknolojia za kisasa katika kilimo, TARI  ina sehemu ambayo inachangia kupunguza uzalishaji gesi.
” Kwa mfano tunapokuwa tunakilima kilimo cha mpunga na kujaza maji mengi, tunazalisha gesi aina ya mithel, sasa sisi katika TARI tuna kilimo shadidi ambacho kinatumia maji kidogo,” amesema.
Amezungumzia pia jinsi taasisi hiyo inavyofanya tafiti mbalimbali ili kuwa na teknolojia zinazokabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
Amesema TARI ina tafiti aina mbalimbali za mbegu ambazo ni himilivu pia kwa magonjwa na wadudu.

You Might Also Like

Mkuu wa Mkoa akabidhi matrekta kwa wakulima kutoka Pass Leasing

PSSSF sasa kidijitali

Wahifadhi Saohill Wapongezwa

Sekta Binafsi Zazuia Wafanyakazi Kujiunga Na Vyama Vya Wafanyakazi

Matokeo Ya Usaili TRA Kutangazwa April 25,2025

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wananchi Waendelee Kupewe Elimu Kuhusu Bioteknolojia
Next Article Walimu Wanaofundisha Lugha Ya Kichina Tanzania Wakutana
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa
Habari September 23, 2025
Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa
Habari September 23, 2025
Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?