MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: REA Yaupamba Mkutano Wa Kikanda Wa Nishati Bora 2024
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > REA Yaupamba Mkutano Wa Kikanda Wa Nishati Bora 2024
Habari

REA Yaupamba Mkutano Wa Kikanda Wa Nishati Bora 2024

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
WAKALA  wa Nishati Vijijini (REA) unashiriki katika Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024 unaofanyika jijini Arusha  ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, . Dkt. Doto Biteko.
REA imeungana na wadau  mbalimbali kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo (SADC) kushiriki katika mkutano huo muhimu.
Aidha, wadau mbalimbali wameendelea kuvutiwa na huduma zinazotolewa katika banda la REA ikiwemo elimu sahihi ya matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa Watanzania.
Kupitia mkutano huo, REA imetoa elimu kwa wadau mbalimbali wa nishati ya umeme ili kuwahakikishia Watanzania upatikanaji wa umeme wa uhakika nchini.

You Might Also Like

JKCI Imeona Wagonjwa Zaidi ya Laki Saba Kwa Miaka Minne

VETA Yatafiti Dawa Ya UTI, Fangasi

Kanisa CAG Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025

Tutuba: Noti Mpya Kuanza Kutumika Februari Mosi mwaka huu

BRT Kuimarisha Uhusiano Tanzania, China

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Watafiti, Wabunifu Waendelezwe Wasivunjwe Moyo- Biteko
Next Article Profesa Ndunguru: Mabadiliko Sekta ya Kilimo Yanaenda Sambamba na Uwekezaji Katika Utafiti
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?