MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Miradi Ufungaji Mifumo Ya Umeme Jua 20,000 Mbioni Kuanza
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Miradi Ufungaji Mifumo Ya Umeme Jua 20,000 Mbioni Kuanza
Habari

Miradi Ufungaji Mifumo Ya Umeme Jua 20,000 Mbioni Kuanza

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandi Wetu
IMEELEZWA  kuwa, miradi ya ufungaji wa mifumo ya umeme jua ipatayo 20,000 ipo mbioni kuanza katika maeneo ya visiwani na makazi yaliyo vijijini ambayo hayajafikiwa na Gridi ya Taifa.
Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa  Nishati Vijijini (REA),  Hassan Saidy wakati wa kikao cha Menejimenti ya Wizara ya Nishati na taasisi zake kilichoongozwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko jijini Dodoma hivi karibuni.
“Mradi huu unahusisha  kufunga na kusambaza mifumo itakayozalisha umeme kwa kutumia nishati ya jua katika makazi yaliyo vijijini ambayo hayajafikiwa na Gridi ya Taifa hasa visiwani kwa kufunga mifumo ipatayo 20,000 ndani ya miaka mitatu, ” Alisema  Saidy

You Might Also Like

Uongozi CHADEMA Kanda Ya Kati Upo Imara

Mrithi wa Kinana Kupatikana Mkutano Mkuu wa CCM

Waziri Mkuu Majaliwa Amwakilisha Dkt.Mpango Mahafali Ya 43 OUT

Wanafunzi 431, Watumishi 52 Watembelea TARI kujifunza Kilimo

Taasisi Za Dini Zinazofanya Biashara Zinatakiwa Kulipa Kodi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Muhogo, viazi kuongezewa tija kwenye uzalishaji
Next Article Mbarawa Aagiza Matumizi Ya Kitufe Utambuzi Wa Dereva
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa
Habari September 23, 2025
Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa
Habari September 23, 2025
Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?