MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Spika Ahoji Mwongozo Wa Wanaojitolea Kazin
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Spika Ahoji Mwongozo Wa Wanaojitolea Kazin
Habari

Spika Ahoji Mwongozo Wa Wanaojitolea Kazin

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Tulia Ackson ametaka kujua kuhusu mwongozo wa watu wanaojitolea  kazini kama umetoka akielekeza swali hilo kwa  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene.

Amefafanua hayo Bungeni  na kuongeza kuwa  kama mwongozo huo haujatoka liwekwe bayana na kama linahitaji  mawazo mapana basi wanaweza kushirikishwa watu wengi zaidi.

“Mngetusaidia hili kwa sababu ajira zimetolewa hivi karibuni na nitaenda kwenye mfano mmoja wapo, kuna madaktari ambao wako hospitalini kwa mkataba huo huo wa kujitolea kwa sababu wanalipwa nusu hawa wanawafunisha wale wanaokuja kama ‘Intern’ halafu wanaajiriwa intern nao wanaachwa wakati wote waliomba”, amesema Dk Tulia.

Amehoji  ni vigezo gani vya kupokea intern (wale wanaopewa mafunzo kazini) wakati aliyempokea na kumfundisha kazi anaachwa, hivyo suala hilo litazamwe kwani yanawaumiza watoa huduma.

“Nimetoa mfano wa madaktari  kwani kwenye jimbo langu ziko nyingi lakin  ni hoja hio hio kwa  kada nyingine kama walimu, manesi na wengine pia,” amesema.

Hoja ya Spika imetokana na wabunge kuuliza kuhusu walimu waliojitolea kwa muda mrefu  iwapo wamezingatiwa kwenye ajira mpya  zilizotangazwa.

Katika majibu yake  Simbachawene amesema kuwa mwongozo huo utatolewa japokuwa kuna changamoto  kwenye  vigezo lakini wanashirikiana na kamati walijadili kwa pamoja kwa sababu vigezo vinasumbua sana.

 

You Might Also Like

Wananchi Wahimizwa Kulinda Maeneo Yaliyohifadhiwa  Kisheria- Kamishna  Wakulyamba

Majaliwa Aituza UDSM kwa Kuongoza Eneo La Elimu, Utafiti, Ubunifu Sabasaba 2025

Dkt Natu Mwamba Ashuhudia Utiaji Saini CRDB Na Taasisi Tatu Za Fedha Kimataifa

Usajili Kwa Njia Ya Mtandao, Umeharakisha Ufunguaji Mashauri

Wastaafu Watakiwa Kutafuta Ushauri  Wa Kitaalam Kwa Matumizi Ya Mafao

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wagonjwa Wenye Maumivu Makali Kupatiwa Tiba Radiolojia MNH
Next Article Serikali  Kuja Na Mradi  Wa Kuimarisha Upatikanaji Umeme Vitongojini- Kapinga 
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nchimbi Ahimiza Ushirikiano wa Wizara Katika Uhifadhi wa Mazingira
Habari March 10, 2026
Mtaka, Ndunguru Wakubaliana Ujenzi wa Maabara ya Kimkakati Njombe
Habari March 10, 2026
Wataalamu wa Fedha SADC Wakutana Pretoria Kujadili Bajeti
Habari March 9, 2026
TASFAM Yawawezesha Wanawake wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Kuadhimisha Siku ya Mwanamke
Habari March 9, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?