DODOMA: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu ameongoza Wizara yake na Menejimenti ya Mfuko wa Taifa wa Watumishi wa Umma (PSSSF) kutoa na kujadili taarifa ya Utekelezaji wa majukumu ya Mfuko huo kwa Mwaka wa fedha 2023/2024 Jijini Dodoma.