MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Hakuna Vituo Bandia vya Kuandikisha Wapigakura:Mchengerwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Uncategorized > Hakuna Vituo Bandia vya Kuandikisha Wapigakura:Mchengerwa
Uncategorized

Hakuna Vituo Bandia vya Kuandikisha Wapigakura:Mchengerwa

Penina Malundo
By Penina Malundo
Share
2 Min Read

Na Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  Mohamed Mchengerwa amesema taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu uwepo wa vituo bandia vya kuandikisha wapigakura wa Serikali za Mitaa sio za kweli na taarifa sahihi ni kuwa alifafanua kuwa uandikishaji unafanyika kwenye vituo 80,812 kutokana na kuwa kuna baadhi ya mitaa au vitongoji vina vituo zaidi ya kimoja.

Waziri Mchengerwa ameyasema hayo wakati akizungumza na vyombo vya habari Jijini Mwanza leo, kufafanua hoja mbalimbali zilizoibuliwa na wadau wa uchaguzi hususan ni kipindi hiki cha uandikishaji.

Amesema ifahamike kuwa kwa Mujibu wa Tangazo la Serikali Na. 796 na 797 kuhusu orodha ya maeneo yatakayoshiriki uchaguzi yanajumuisha jumla ya mitaa na vitongoji 68,543 lakini vituo vilivyopo ni 80,812.

Amesema lengo la kuwa na vituo hivi ni kuhakikisha wananchi wote wanafikiwa ili kupata haki yao ya msingi ya kuchagua na kuchaguliwa.

Amesema hiyo ina maana vipo vitongoji na mitaa ambayo inakituo zaidi ya kimoja na hii imefanyika miaka yote ya uchaguzi kutokana na wingi wa watu, jiogarafia ya mahali ya eneo husika mfano misitu au wananchi wana shughuli za kiuchumi katika maeneo ya wafugaji, wakulima, wachimbaji migodini au wananchi wanaishi mbali na Kituo cha uandikishaji hivyo kwa pamoja wasimamizi na viongozi wa vyama wanakubalina kuongeza kituo ili kuwafikia wananchi wote.

Ameongeza kuwa kutowafikishia wananchi fursa ya kuwa na kituo ni kuwanyima haki yao ya kikatiba.

“Suala la msingi pale inapobainika uhitaji wa kituo cha kuandikisha na kupiga kura, Kanuni zinaelekeza vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi katika eneo husika kukubaliana na kuamua ni wapi kituo kiwekwe ili kuhakikisha wananchama wao na wananchi wengine wote wanapata fursa hii ya kikatiba pasipo na kikwazo,”amesema.

Pia amewataka wadau wa vyama pamoja na wasimamizi wa uchaguzi/wasimamizi wasaidizi kukubaliana maeneo yote ambayo ni muhimu kukawa na vituo kwa nia ya kuwafikia wananchi wote pasipo na vikwazo.

You Might Also Like

Dkt.Mpango ataka Afrika kuunganisha nguvu uendelezaji wa Jotoardhi

Wananchi Wachagua Viongozi Serikali Za Mitaa

Kapinga : Bei ya umeme Tanzania ni nafuu kuliko nchi nyingine Afrika Mashariki

PURA, M&P zajadili mradi wa uchorongaji visima vya gesi Mnazi Bay

Waziri Jenista akabidhiwa ofisi rasmi na Ummy Mwalimu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article GWSON yawakumbuka watoto wenye vichwa vikubwa,mgongo wazi kumbukizi ya Mwl.Nyerere
Next Article Ridhiwani  Azindua Hafla ya Kuupandisha Mwenge, Mlima Kilimanjaro
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mazao Ya Mikunde Yatajwa Kuwa Na Kiwango Kikubwa Cha Protini
Habari August 8, 2025
Mchome: Ubunifu wa VETA Ni Mkubwa, Sasa Ni Wakati Wa Uzalishaji Kwa Wingi
Habari August 8, 2025
TARI Kibaha Yaboresha Pia Mbegu za Mazao ya Mizizi
Habari August 7, 2025
TAMWA Yawawezesha Wanawake Kupitia Mradi wa Nyuki
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?