MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Masauni Kuzifanyia Kazi Changamoto Alizozibaini Katika Ziara Yake
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Masauni Kuzifanyia Kazi Changamoto Alizozibaini Katika Ziara Yake
Habari

Masauni Kuzifanyia Kazi Changamoto Alizozibaini Katika Ziara Yake

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DODOMA: WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni amesema wanategemea kupokea vitendea kazi mbalimbali vitakavyosaidia kutatua changamoto ya utendaji kazi.
Masauni amesema hayo wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Dodoma alipokuwa akizungumza katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kongwa kabla ya kuzindua miradi na kuzungumza na wananchi kwenye Mkutano wa hadhara wilayani hapo.
Ametaja vitendea kazi vitakavyopokelewa kupitia Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kuwa ni magari ya kuzima moto, helikopta, na boti.
Pia amesema wizara yake itafanyia kazi na kuziondoa changamoto zote za Vyombo vya Usalama vilivyo chini yake alizozibaini kwenye ziara hiyo.
Katika ziara hiyo Waziri Masauni amezindua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika Mkoa wa Dodoma ikiwemo uzinduzi wa vituo vya Polisi, Shule ya Sekondari na maabara ya shule ya Sekondari.
Amekiri watendaji wa Vyombo vya Usalama vilivyo chini ya Wizara yake  kufanya kazi kwa ufanisi na kujitoa kwa hali na mali ili  kuhakikisha amani na usalama inakuwepo wakati wote.

You Might Also Like

Kamati Ya Bunge Yakagua Mradi Wa Nyumba NSSF

Dodoma Yazizima Wakati Samia, Nchimbi  Wakichukua Fomu Ya Urais

Majaliwa: Elimu Ya Watu Wazima, Silaha Ya Mapinduzi Ya Maendeleo

Ikomba: Acheni Makundi, Jengeni Umoja wa Chama

Wagonjwa 472 Waonwa Na Daktari Wa Mifupa MOI, 40 Wapendekezwa Kufika Dar kwa Matibabu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Majaliwa Asisitiza Matumizi ya Mifumo ya Kieletroniki Katika Makusanyo
Next Article Watumishi wa Umma Watakiwa Kuwa na Nidhamu, Ubunifu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Sheria Ya  Kuzuia Shisha Kutungwa, Yabainika Kuwekwa Dawa Za Kulevya
Habari May 29, 2026
Waraibu Wa Dawa Za Kulevya 85,425  Wapatiwa Huduma Ya Tiba Nchini Kwa Mwaka 2025
Habari May 29, 2026
NHC Kuendelea Kutekeleza Miradi Mikubwa Ya Kimkakati Ya Ujenzi Wa Nyumba
Habari May 28, 2026
Kutokulipa Kodi Ya Pango La Ardhi Unakosa Sifa Za Kugombea Nafasi Za Uongozi
Habari May 28, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?