MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mbunge Kuchauka azindua kambi kuhamasisha Uchaguzi Serikali za  Mitaa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mbunge Kuchauka azindua kambi kuhamasisha Uchaguzi Serikali za  Mitaa
Habari

Mbunge Kuchauka azindua kambi kuhamasisha Uchaguzi Serikali za  Mitaa

Author
By Author
Share
1 Min Read
NA MWANDISHI WETU
MBUNGE  wa Liwale  mkoani Lindi, Zubeir  Kuchauka  amezindua  kambi ya vijana kwa ajili ya kuhamasisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Katika uzinduzi huo amewataka vijana kujitokeza kwa wingi kujiandishika katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura .
Amewataka Novemba 27 mwaka huu  wajitokeze kwenda kupiga kura ili kutimiza haki ya kimsingi ya katiba ya nchi kuchagua viongozi  wanaofaa.
Amewasisitiza vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli mbalimbali hususani katika miradi ya maendeleo.
Amewaasa  kutoshiriki katika makundi ya ovyo  ili Kambi hiiyo iwe yenye matokeo chanya  kwa Chama  Cha Mapinduzi.
“Vijana kuwa na uadilifu na uaminifu ndio nguzo ya maisha kwa sasa  na si kujiunga na makundi yasiyo na mafanikio,”amesema

You Might Also Like

TPHPA ina mchango mkubwa utoshelevu wa chakula – Profesa Ndunguru

Nzega Kujenga Barabara za Lami, Soko la Kisasa ili Kukuza Uchumi

Wazazi washauriwa kusomesha watoto useremala

Kuelekea Uchaguzi Mkuu, Wanaotumika Vibaya Waonywe

TALGWU Chafanya Kikao Cha Baraza La Wafanyakazi Dodoma

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Profesa Nombo Azindua Miongozo Ya Usimamizi Ya Utafiti, Ubunifu COSTECH
Next Article Majaliwa Asisitiza Matumizi ya Mifumo ya Kieletroniki Katika Makusanyo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nishati Safi Kwa Kila Mtanzania Inawezekana – Saidy
Habari August 7, 2025
Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane
Habari August 7, 2025
Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?