MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Swahili International Tourism Expo Kufanyika Oktoba 11 hadi 13
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Swahili International Tourism Expo Kufanyika Oktoba 11 hadi 13
Habari

Swahili International Tourism Expo Kufanyika Oktoba 11 hadi 13

Author
By Author
Share
3 Min Read
Na Richard Mrusha
WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) inatarajia kufanya  onesho la  nane lijulikanalo kama Swahili International Tourism Expo (SITE) litakalofanyika Oktoba 11 hadi 13 , mwaka huu Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania, Ephraim Mafuru amesema hayo leo Septemba 12, 2024 alipozungumza na Waandishi wa Habari.
Mafuru amesema lengo la onesho hilo ni kuwakutanisha watoa huduma waliopo katika mnyororo wa thamani wa Utalii ndani na nje ya nchi ambao watapata fursa ya kuonesha bidhaa zao za Utalii na kutengeneza Mtandao wa Biashara.
“Onesho la S!TE linaenda sambamba na Utekelezaji wa sera ya Taifa ya Utalii ya Mwaka 1999 pamoja na mkakati wa kutangaza Utalii Kimataifa ( 2020-2025 ) ambayo imetilia mkazo kutangaza Tanzania kama kivutiok Bora Cha Utalii Duniani.
“Onesho hili pia ni sehemu ya utekelezaji wa mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka mitano lll  ambapo zao la Utalii wa Mikutano na Matukio limeainishwa kama zao la Utalii la kimkakati kwa lengo la kufikia watalii milioni tano na mapato ya Dola za Marekani bilioni sita ifikapo Mwaka 2025,” amesema.
Amesema Onesho hilo la nane la S!TE limebeba ujumbe usemao ” Explore Tanzania for a Life Time Investment and Seamless Tourism Experience” litahudhuriwa  na waoneshaji wa bidhaa na huduma za Utalii zaidi ya 120.
Pia wanunuzi wa bidhaa na huduma za Utalii takribani 120 kutoka Nchi ambazo ni masoko ya Kimkakati ya Utalii wetu ikiwemo Ulaya, Asia na Amerika.
Kwa upande mwingine amesema  onesho hilo litafuatiwa na ziara za mafunzo ambazo zinalenga kuwajengea uelewa wahudumu wa bidhaa za Utalii kuhusu vivutio vya Utalii vilivyopo Tanzania ili waweze kuvitangaza katika Nchi zao na dunia kwa ujumla.
” Mwaka huu ziara hizo zimejikita katika kufungua Kanda za Utalii zinazochipukia ikiwemo ukanda wa Utalii Magharibi na Ukanda wa Utalii Kusini, kufungamanisha shughuli za Utalii zinazofanyika Zanzibar na Tanzania Bara,” amesema.
Amewataka watanzania na Vyombo vya Habari kushiriki kikamilifu katika kuhamasisha na kutangaza onesho la S!TE 2024 kwa lengo la kuwafikia Wadau wengi zaidi Ndani na nje ya Nchi ili waweze kunufaika na fursa za onesho hilo.

You Might Also Like

DIT kudhibiti nzi wa maembe kisasa

Japan Yatoa Bilioni 27 Kuboresha Sekta Ya Afya

Senene Waongezewa Thamani UDSM

Matukio Mbalimbali Katika Picha Baada Ya Waziri Mkuu Kuwasilisha Makadirio Ya Mapato Ya Bajeti

Mwanafunzi UDSM Aja Na Nyama Ya Mimea

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mikataba ya zaidi ya bilioni 50 kuhamasisha nishati salama
Next Article Rais Mwinyi Azindua Ripoti ya Jiolojia, Utafiti Madini zanzibar
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?