MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: COSTECH yazindua program kuwajengea uwezo wanawake kidijitali
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > COSTECH yazindua program kuwajengea uwezo wanawake kidijitali
Habari

COSTECH yazindua program kuwajengea uwezo wanawake kidijitali

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Ngowi

TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia  (Costech), imezindua Program mbili kwa ajili ya kuwajengea uwezo wanawake na wasichana kidijitali.

Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Dkt. Amos Nungu amezindua program hizo leo Septemba 10, 2024 mkoani Dar es Salaam.
Dkt. Nungu amesema Program ya kwanza inajulikana kama  ‘Future Femtech’  inayowasaidia wanawake wenye kampuni changa au mawazo machanga kwenye teknolojia.
Amesema Program ya pili ijulikanayo kama ‘Kuzatech’ inaangalia mabinti ambao walikuwa shule lakini kwa namna moja au nyingine wakashindwa kuendelea na masomo hivyo wamewapa fursa ya kupata mafunzo kidijitali.
“Sasa hizi Program mbili tunazifanya kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo,”amesema.
Nungu amesema Kuzatech wataunganika na Future Femtech ambao baadhi yao ni wahitimu wa vyuo vikuu wenye mawazo ya biashara.
“Sasa ina maana hawa wadogo wanapata fursa ya kuungana na hawa wakubwa,” amesema.
Kwa upande wake Meneja Usimamizi na Uhaulishaji Teknolojia Costech, Dkt. Erasto Mlyuka amesema Program hiyo ya Future Femtech inawalenga wasichana ambao wamekuwa ni waanzilishi wa kampuni changa.
Amesema hupewa msaada wa kitaalam kwa maana ya mafunzo elekezi ya kujengewa uwezo pia kupewa fedha za kuwawezesha kufanya biashara zao.
“Tuna Program nyingine kwa ajili ya wasichana ambao hawakumaliza masomo yao inaitwa Kuzatech inawalenga wasichana wadogo wenye miaka kati ya 15 na 20.
“Lengo ni kuwapa ujuzi na taaluma ya kiteknolojia ili waweze kuja na biashara ambazo zinaweza zikasaidia waweze kumudu maisha yao, na wasaidie jamii.
” Na hii yote tunataka kutengeneza ajira kwa wanawake ili na wenyewe wapate nafasi ya kuchangia kwenye pato la nchi na kuwa na kipato halali,” amesema.
Mbunifu kutoka Arusha, ambaye ni mnufaika wa Future Femtech, Pamela Chogo amesema mafunzo aliyoyapata ni chachu kubwa kwenye ubunifu wa biashara.
Amesema Program hizo ni muhimu kwa sababu zinasaidia kupata elimu ya ujasiriamali.

You Might Also Like

Ridhiwani Ashiriki Mazishi Ya Mwenyekiti SHIVYAWATA

Rais Samia katika uzinduzi rasmi safari za SGR

Rais Samia Aungwe Mkono Ajenda Ya Nishati Safi Ya Kupikia-Makongoro Nyerere

Kadi za mpiga kura zenye jina la zamani la Tume ni halali

Tanzania Kwa Mara Nyingine Mwenyeji Kongamano La eLearning Afrika

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mauaji Yanayotokea Ni Aibu-Butiku
Next Article Mongella Atoa Maagizo Maalum Kwa Viongozi CCM
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

JAB Yatoa Mwezi Moja Kuthibitishwa, kupewa vitabulisho
Habari May 22, 2025
Hali Ya Ulinzi Na Usalama Wa Mipaka Ni Salama
Habari May 22, 2025
Ulega Ataka Ushirikiano Miradi Ya Kimkakati Ikamilike Kwa Wakati
Habari May 22, 2025
Aloe Dorotheae, Mmea Unaopatikana Tanzania Pekee
Habari May 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?