MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Biteko Atoa Somo Uzalishaji Matumizi ya NIishati Afrika
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Biteko Atoa Somo Uzalishaji Matumizi ya NIishati Afrika
Habari

Biteko Atoa Somo Uzalishaji Matumizi ya NIishati Afrika

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezitaka nchi za Afrika kubuni na kutumia rasilimali na vyanzo mbalimbali vya nishati vilivyopo kuchochea maendeleo ya uchumi miongoni mwa nchi hizo.

DKt. Biteko amesema hayo Mjini Windhoek, Namibia wakati akihutubia Mkutano wa kimataifa kuhusu matumizi ya Hydrogen kwa ajili ya kuzalisha nishati ya umeme.

Amesema nchi hizo zinahitaji kuunganisha nguvu na kuweka mifumo na sera za kuwezesha matumizi ya teknolojia na mbadala kwa ajili ya kuleta maendeleo endelevu miongoni mwa nchi washiriki.

Akitoa mfano wa Tanzania, Dkt. Biteko ameueleza Mkutano huo kuwa Tanzania iko katika utekelezaji mkakati wa upatikanaji wa nishati ya uhakika kwa gharama nafuu na hivyo kuchochea maendeleo ya watu na taifa kwa ujumla.

Amezitaka nchi hizo za Afrika kuifanya ajenda ya nishati safi kuwa ya pamoja miongoni mwa nchi hizo ambayo inapunguza gharama za uedeshaji na kupungguza changamoto za kiafya.

Amesema pamoja na changamoto za kifedha, miundombinu na masoko katika matumizi ya Hydrogen, lakini ushirikiano na uhusiano mzuri miongoni mwa nchi za Afrika linaweza kuwa suluhisho.

Amesema Tanzania kwa upande wake itaendelea kuwa kinara katika matumizi ya Nishati safi kwa kushirikiana na mataifa mengine ya Afrika katika kupitia mifumo, miundo sera na sheria zinazolenga katika maendeleo endelevu.

Mkutano huo umefunguliwa na Makamu wa Rais wa Nchi hiyo, Netumbo Nandi-Ndaitwah ambaye amewataka washiriki kutumia fursa ya mkutano huo kuanisha mbinu na mkakati unaoweza kutumika kuleta maendeleo ya nchi husika kwa kutumia rasilimali zilizopo.

Amesema Namibia inajivunia matumizi ya Hydrogen kwa matumizi ya viwanda kwa manufaa nchi hiyo, nchi Jirani pamoja na mataifa mengine yaliyo katika mlengo wa matumizi ya nishati hiyo.

Tanzania iko katika hatua za awali katika kuendeleza matumzi ya Hydrogen hivyo inatumia fursa ya Mkutano huo kujifunza kuhusu fursa na Changamoto zinazoweza kujitokeza.

Nchi za Afrika ambazo ziko katika matumizi ya Hydrogen ni pamoja na Namibia, Afrika Kusini, Kenya, Maouritania na Morocco.

You Might Also Like

UDSM  Yakamilisha Utafiti Wa Dawa Ya Kusafisha Sumu Kwenye Maji

Erio atoa elimu ya bidhaa bandia kwenye mabanda nanenane

NBS: Utumiaji Wa Takwimu Nyenzo Muhimu Kwa Mama Lishe

Vyama Vya Wafanyakazi Vihimize Waajiri Kutoa Taarifa WCF, Zinazohusu Wafanyakazi Wanaopata Ajali, Ugonjwa Kazini

Ajali ya treni Kigoma , abiria 70 wajeruhiwa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Makalla aitaka Halmashauri Longido kutenga fedha, ujenzi wa uzio Samia Girls
Next Article Bonifas Jacob aahidi  akishinda Uenyekiti Kanda ya Pwani hatakaa ofisini
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Jaji Mwambegele: Habari Sahihi ni Msingi wa Ushiriki Mpana wa Wananchi Kura 2025
Habari August 2, 2025
TARURA Yatoa Elimu Nane Nane
Habari August 2, 2025
Wakazi Wa Ntyuka Wataka Kiongozi Mchapakazi
Habari August 1, 2025
Kisaro Ahojiwa Kuhusu Migogoro ya Ardhi,  Mwinje Ajitosa na Suluhisho la Miundombinu na Umiliki wa Ardhi
Habari August 1, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?