MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Bunge lapitisha muswada marekebisho ya sheria za Hifadhi ya Jamii
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Bunge lapitisha muswada marekebisho ya sheria za Hifadhi ya Jamii
Habari

Bunge lapitisha muswada marekebisho ya sheria za Hifadhi ya Jamii

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

DODOMA:BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama wa utaratibu wa upatikanaji wa mafao.
Marekebisho hayo yanagusa sheria tatu ambazo ni Sheria ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii sura ya 50, Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma sura ya 371, na Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi Sura ya 263.
Akiwasilisha maelezo ya muswada huo bungeni Agosti 29, 2024, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema marekebisho hayo yanatokana na nia ya dhati ya Rais Samia Suluhu Hassan, ya kutatua changamoto ikiwemo mkwamo wanaopata watumishi wanapostaafu.
Pia amesema muswada huo umelenga kutatua suala la wastaafu kukutana na kizingiti cha waajiri kutowasilisha mixhango kwa wakati kwenda kwenye mifuko na kuongeza makusanyo.
“Unalenga pia kuondoa changamoto ya uonevu wakati wa kuwapatia haki wafanyakazi wanaoumia makazini na anayepaswa kutoa taarifa anaposhindwa kutoa taarifa ndani ya muda, malipo yasiyo ya lazima na kulinda watumishi katika stahiki zao,
” Kwa waajiri kuwapa ulinzi wa taarifa, na kuwajengea mazingira wachangie na kuwapa nafuu katika malipo,” amesema.
Akiwasilisha maoni ya Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Fatuma Toufiq, amesema kamati inakubaliana na marekebisho hayo yaliyopo kwenye muswada huo.
Ameshauri serikali iimarishe mifumo ya tehama ili wanachama wapate taarifa za michango yao kutoka kwa waajiri kila mwezi kwenye simu zao za kiganjani ili kuondoa tatizo la wanachama kutolipwa mafao kwa wakati kutokana na kutopelekwa kwa michango yao kwenye mifuko.

You Might Also Like

Bodi Ya Wadhamini Ya NSSF Yaridhishwa Na Uwekezaji Wa Ubia Na Jeshi La Magereza

LHRC Kushirikiana  Na JOWUTA Kuwajengea Uwezo Wanahabari Katika Masuala Ya Haki Zao Na Sheria Za Kazi

Wananchi Waendelee Kupewe Elimu Kuhusu Bioteknolojia

GIZ, IUCEA waratibu uchambuzi wa data kidijitali kwa wahitimu

Biashara kidijitali inawezekana soko huru la Afrika

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Rais Samia kufungua mkutano wa Mawaziri wa Uvuvi
Next Article Waziri Mkuu Majaliwa ndani ya SGR
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

BRELA Yatwaa Tuzo Sabasaba
Habari July 11, 2025
UDSM  Yakamilisha Utafiti Wa Dawa Ya Kusafisha Sumu Kwenye Maji
Habari July 11, 2025
Rafiki Planter’Teknolojia Rahisi, Tija Kubwa”
Habari July 11, 2025
Wazalishaji, Waagizaji Mbolea Watakiwa Kuzingatia Afya ya Udongo kwa Tija ya Kilimo
Habari July 11, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?