Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 6, 2026
Habari Lucy Ngowi 5

Waziri Mkuu Majaliwa ndani ya SGR

Na Mwandishi Wetu

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 30, 2024 amesafiri kwa kutumia Usafiri wa treni ya Mwendo Kasi (SGR) kutokea Dodoma kwenda Dar es Salaam ambako atakuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Watoa Huduma za Afya Afrika Mashariki utakao fanyika katika Kituo  cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC).

Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.