MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mjadala na Kampuni za Nishati Kimataifa Kuendelezwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mjadala na Kampuni za Nishati Kimataifa Kuendelezwa
Habari

Mjadala na Kampuni za Nishati Kimataifa Kuendelezwa

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Mwandishi wetu,

SERIKALI inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa kwa ajili ya kutekeleza Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia ili kuwa kimiminika (LNG).

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga alipokuwa akijibu swali bungeni kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, . Dkt. Doto Biteko leo Alhamisi, Agosti 29, 2024.

Swali hilo la msingi limeulizwa na Aida Joseph Khenani (Mbunge wa Nkasi Kaskazini) ambaye alitaka kujua ni lini Mkataba kati ya Tanzania na Wawekezaji wa Gesi Asilia wenye thamani zaidi ya sh. 70 Trilioni utaletwa Bungeni kuridhiwa.

“Mradi wa LNG ni mradi wenye manufaa makubwa kwa Taifa na majadiliano haya ni muhimu, ndio yatakayoweka msingi wa kodi, mirabaha pamoja na ulinzi wa Tanzania kunufaika kiuchumi. Hivyo suala la mradi wa LNG ni kipaumbele kwa Serikali,” amesema Mhe. Kapinga.

Kuhusu suala la kuagiza gesi ya LPG kwa mfumo wa uagizaji kwa pamoja, jambo hili linaendelea kuchakatwa, pia Serikali inaendelea na hatua za ujenzi wa gati katika Bandari ya Dar es Salaam ili kuwezesha Meli kubwa kushusha gesi ya LPG.

You Might Also Like

Serikali Kumuenzi Mzee Morris, Ngoma Zake 10

Singida Yapokea Zaidi Ya Milioni  Moja 

Vijana Ni Chachu Ya Maendeleo Endelevu Wakiwezeshwa-Kikwete

July 10, 2025

Benki Ya Dunia Kujenga Mradi Wa Njia Ya Kusafirisha Umeme Wa KV 400  Kutoka Uganda-Tanzania  

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tanzania yajipanga kutumia nishati ya nyuklia kuzalisha umeme
Next Article Rais Samia kufungua mkutano wa Mawaziri wa Uvuvi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Watendaji Wakuu Waagizwa Kuifanya Dira 2050 Kuwa Mwongozo Wa Maamuzi Yao
Habari July 24, 2026
Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
Wananchi Washauriwa Kutumia  Wataalam Wa Ujenzi Kuepuka Madhara
Habari July 14, 2026
July 14, 2026
Uncategorized July 14, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?