MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wafanyakazi fahamuni vihatarishi sehemu za kazi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wafanyakazi fahamuni vihatarishi sehemu za kazi
Habari

Wafanyakazi fahamuni vihatarishi sehemu za kazi

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu

WAFANYAKAZI nchini wametakiwa kufahamu vihatarishi vilivyopo katika sehemu zao za kazi na kujua namna ya kukabiliana navyo Ili kuepuka madhara ya kiafya.

Wakala wa Afya na Usalama Mahala pa Kazi (OSHA) umesema katika maeneo ya kazi ni muhimu mwajiri kuelimisha na kuhakikisha tahadhari zinachukuliwa.

Akizungumza katika semina ya waandishi wa Habari kutoka Chama Cha Wafanyakazi wa vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA), Meneja Mafunzo na Uhamasishaji Shaban Nkindi amesema hakuna kazi isiyokuwa na kihatarishi hata kama ni ndogo.

” Kwa wale waliopo ofisini muda mwingi ni muhimu kuangalia mpangolio wa Ofisi,kwamba viti wanavyokalia kama ni salama kwa Afya zao maana vingine isiwe sababu ya kuwa na matatizo ya misuli,” amesema.

Amesema kukaa muda mrefu yaani egonomia nako inaweza kuwa sababu ya Tatizo lazunguko wa damu mwilini,hi yo muhimu sana kuangalia namna ya ukaaji.

Mkindi amesema hata kama ni kazi ya kutumia nguvu,jambo muhimu ili kuwa salama kuwe na utaratibu wa kupumzika pamoja na kujinyoosha misuli.

Kwa upande wake Wakili wa OSHA, Rehema Msekwa amesema yapo masharti yanayotakiwa kuzingatia mahali pa Kazi ikiwa ni pamoja iwepo wa maji safi na salama ya kunywa,vyoo kuzingatia mahitaji na Wafanyakazi kupima afya.

Amesema wafanyakazi wakiwa salama tija inaongezeka mahala pa kazi na kwamba ni muhimu kujua Sheria ya Usalama mahali pa Kazi nba 5 ya mwaka 2003.

You Might Also Like

Februari Mwaka Huu Wafanyabiashara Kariakoo Kurejea, Wenye Madeni Waagizwa Kulipa

Waziri Mkuu Majaliwa Kuongoza Harambee Ya Mei Mosi Kitaifa

Kampuni ya Kichina CCCC yatoa msaada wa vitabu UDSM

NFRA Yawaalika Wadau Kununua Nafaka kwa Masoko ya Ndani na Nje

Waziri Mkuu Aagiza Kuimarisha Ufuatiliaji Na Tathmini Kuleta Maendeleo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article UDSM,YULHO kujenga kituo cha kupima madini
Next Article Tanesco yashauriiwa kuendeleza kasi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Mpunga Zazalishwa TARI Dakawa, Ifakara
Habari August 7, 2025
Mtego wa Inzi Wa Matunda Suluhisho Salama kwa Wakulima
Habari August 7, 2025
Mafua, Kifua Yadaiwa Kusababisha Kifo cha Job Ndugai
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?