MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wakulima wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya mbolea
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wakulima wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya mbolea
Habari

Wakulima wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya mbolea

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
WAKULIMA Mkoani Kagera wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya mbolea ili kuongeza mavuno na kujiimarisha kiuchumi.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwasa wakati wa kampeni wa Kilimo ni Mbolea wilayani Misenyi.
Mkuu huyo wa mkoa amesema, hivi sasa  bei ya Kahawa imeongezeka, lakini bila kuzingatia matumzi sahihi ya Mbolea mavuno yatakua kidogo na uimara wa bei hiyo sokoni hauwezi kumnufaisha mkulima.
Amesema matumizi sahihi ya mbolea kwenye mazao yanamsaidia mkulima kupata uhakika wa mavuno yake na hivyo kuwa na uhakika wa soko kutokana na mavuno yenye ubora atakayovuna.
“ Unapotumia mbolea kwa usahihi unapata uhakika wa mavuno yenye ubora yatakayo kupa bei nzuri sokoni na hivyo kujiongezea kipato chako binafsi na pato la taifa kwa ujumla wake”,amesema.
Vile vile amesema Serikali imetatua changamoto ya makali ya bei ya mbolea kwa kuleta mpango wa mbolea ya ruzuku unaosimamiwa na TFRA ili kila mkulima asajiliwe na kunufaika na mpango huo.
“Ndugu zangu wakulima niwakumbushe kuwa Serikali yetu imetatua changamoto ya bei ya mbolea kwa kuleta mpango wa mbolea ya ruzuku unaotekelezwa nchi nzima na ni haki ya kila mkulima kujisajili na kunufaika na bei himilivu ya ruzuku ” amesema.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania TFRA Dkt. Anthony Diallo, amesema mamlaka inahimiza matumizi sahihi ya mbolea kupitia majukwaa mbalimbali hivyo ni jukumu la kila mkulima kuitumia elimu wanayopewa na kuketa mabadiliko katika kilimo chao.
Dkt. Diallo amesema wakulima wa Kagera wanalima mazao mbalimbali ya chakula na biashara lakini hawatumii mbolea ipasavyo hivyo kujipunguzia kiasi cha mavuno ambayo wangstahili kuvuna iwapo wangetumia mbolea kwa usahihi.

You Might Also Like

UDSM  Yakamilisha Utafiti Wa Dawa Ya Kusafisha Sumu Kwenye Maji

Tume ya umwagiliaji yapambana kuinua kilimo

Yonaz akabidhi boti ya doria kukabili vitendo vya kiuhalifu

Sera mpya ya biashara irahisishe ufanyaji biashara

USCAF Yawapatia Mafunzo Ya TEHAMA Walimu 1585

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article China Yafundisha Wanafunzi DIT kuzifikia fursa
Next Article Dkt  Biteko ashiriki  Kikao Cha Mawaziri  wa Nishati  Uganda
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nishati Safi Kwa Kila Mtanzania Inawezekana – Saidy
Habari August 7, 2025
Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane
Habari August 7, 2025
Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?