MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wakulima wafunzwa kuhusu mlipuko wa panya TPHPA
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wakulima wafunzwa kuhusu mlipuko wa panya TPHPA
Habari

Wakulima wafunzwa kuhusu mlipuko wa panya TPHPA

Author
By Author
Share
3 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA;  MAMLAKA ya. Afya ya Mimea na Viuatilifu (TPHPA), imewaalika wakulima kufika katika banda lao lililopo kwenye maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi ili kupata elimu kuhusu mlipuko wa panya katika mashamba yao.
Ofisa kutoka Kituo cha Kitaifa cha Kudhibiti  Baa la Panya Tanzania TPHPA, Christina Tewele amesema kati ya aina mbalimbali za panya, panya shamba anapatikana katika maeneo yote nchini ambaye kwa kiasi kikubwa husababisha mlipuko.
Akitolea mfano milipuko ya panya ya hivi karibuni iliyotokea katika mashamba ya wakulima, maeneo ya Kanda ya Ziwa wilaya ya Bariadi na Kishapu, amesema TPHPA imefanikiwa kuidhibiti kwa kutumia sumu baada ya njia nyingine kushindikana.
Amesema panya wanapoingia shambani hufanya uharibifu mkubwa kwa kula mazao yaliyopo hivyo kusababisha hasara kwa mkulima.
“Kuna dalili nyingi ambazo mkulima ataziona shambani zitakazomwashiria kuna mlipuko wa panya katika eneo hilo.
“Kitu cha kwanza ataona mashimo hai ya panya, vinyesi vingi vya panya shambani, pia ataona njia nyingi za panya katika shamba lake, na ukipita usiku unakuta panya wanakatiza mara nyingi.
“Pia kitu kingine ni uharibifu wa ile mimea na mazao yakiwa shambani kwa sababu panya anafanya uharibifu tangu hatua ya kwanza ya kupanda mbegu katika ukuaji,” amesema.
Amesema mahindi yakifanikiwa kuota na kuanza kukomaa, panya ana uwezo wa kulipandia na kulitafuna love.
Amesema panya ana uwezo wa kufanya uharibifu wa hadi asilimia 100, hivyo mkulima anaweza kupanda mbegu kesho yake akakuta zimeliwa mashimo yote yako matupu.
“Wakulima waje banda la TPHPA ni fursa kwao kujifunza , panya wanapomwelemea ajue ni wapi akimbilie ili aendelee kuwa salama,” amesema.
Kwa upande wake mdau wa Kilimo kutoka Benki ya Azania, Gailey Kihungwa ameshukuru kupata elimu ya panya, kwamba anaweza kuleta madhara makubwa kwa mkulima.
“Tunashughulika na wakulima tunafikiri fursa hii itatusaidia kuwapa elimu ya jinsi ya kudhibiti panya ni waharibifu wa mazingira na mazao kwa wakulima,”amesema.
Kwa upande wake Mkuu wa Kitengo cha Taifa cha Nasaba za Mimea TPHPA, Dk Mujuni Kabululu amesema wamekuwa wakitoa elimu na huduma mbalimbali, eneo la panya waharibifu limekuwa ni kivutio kwa wakulima.
Amesema katika kipindi hiki kumekuwa na baa kubwa la panya,, ” Na nchi imeshambuliwa sana mwaka huu na uliopita.
“Wataalamu wetu kupitia TPHPA wamefanya kazi katika kupambana na panya, kuhakikisha wanadhibitiwa kwa kuwa wanaleta madhara makubwa sana katika kilimo,”.

You Might Also Like

JAB Yatoa Mwezi Moja Kuthibitishwa, kupewa vitabulisho

Apongeza watumishi kwa kutoa huduma bora kwa walimu

Simbachawene Asema Serikali Yajivunia Mafanikio TASAF

BUWSSA Yapewa Bilioni 28 Kutatua Tatizo La Maji

Kassim Majaliwa Mgeni Rasmi Miaka 30 VETA

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Serikali imejipanga Mkakati wa Taifa wa Matumìzi ya nishati safi ya kupikia – Mramba
Next Article TPHPA: Toeni taarifa mapema milipuko ya kwelea kwelea, nzige, viwavijeshi vamizi inapotokea
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?