MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Miradi ya Maendeleo Isimamiwe kwa Uadilifu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Miradi ya Maendeleo Isimamiwe kwa Uadilifu
Habari

Miradi ya Maendeleo Isimamiwe kwa Uadilifu

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu, Tabora

KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti Justine Nyamoga imewataka watumishi na watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo kusimamia miradi ya maendeleo kwa uadilifu ili kuweza kufanikisha malengo na matakwa ya miradi husika.

Nyamoga ametoa rai hiyo katika kikoa cha majumuisho ya ziara ya ukaguzi ya utekelezaji wa ujenzi wa miundombinu ya elimu kupitia program ya BOOST na SEQUIP ilijegwa katika Halmashauri hiyo Mkoani Tabora.

Amesema mifumo bora ya usimamizi mzuri ni mhimu katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo hivyo Serikali inapotoa Fedha za miradi Halmashauri inapaswa kuweka usimamizi bora na wa karibu ili fedha iliyotengwa iweze kufikia malengo maalumu ya miradi hiyo.

Aidha Nyamoga amesema Kamati imeridhishwa na Utekelezaji na Maendeleo ya Miradi hii inayotekelezwa ambapo Mradi wa SEQUIP wa Shule ya Sekondari Igunguli iliyopo katika Kata ya Uyogo umetekelezwa na shule imeanza kutumika.

Miradi hiyo ni pamoja na shule ya Sekondari Igunguli ambayo ina faida kubwa kwa wananchi wa kata ya Uyogo kwani hapo awali wanafunzi walilazimika kutembea umbali wa Kilomita 13 kwenda shuleni.

Pia utekelezaji wa Mradi wa BOOST wa shule ya Awali na Msingi Samia umetekelezwa katika Kata ya Urambo na shule ambapo tayari shule hiyo imeanza kutumika. Mradi wa shule hii umesaidia watoto wa kata ya Urambo kupata elimu kwenye mazingira ya karibu na makazi yao.

Akitoa neno la shukrani Mkuu wa Wilaya ya Urambo Dkt. Khamis Athumani Mkanachi ameishukuru kamati kwa kufanya ziara hiyo ya ukaguzi wa miradi katika Wilaya ya Urambo na kuahidi kutekeleza yale yote walioyaelekeza.

You Might Also Like

VETA: Miaka 30 ya Kuinua Ujuzi na Kuunda Wataalamu wa Kesho

TARI: Mabadiliko Ya Tabia Nchi Yamepunguza Ufanisi Wa Mbegu

Ofisi Ya Taifa Ya Takwimu  Kufanya Tafiti Kwa Wakala Wa Huduma Za Fedha,Viwandani

JOWUTA Yawasilisha Ripoti ya Ukaguzi kwa Msajili

Tume ya Kurekebisha Sheria Yatoa Onyo Kali kwa Wanaovunja Sheria za Umwagiliaji

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TARURA yaokoa kiasi kikubwa cha fedha kwa kujenga madaraja ya mawe
Next Article Si ruhusa kufuga, kuchunga, kuvua maeneo ya umwagiliaji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yaweka Mkazo Kufufua Viwanda Musoma Ili Kuongeza Ajira
Habari April 24, 2026
Program Ya Mama Samia Ya Kurasimisha Ujuzi Yazinduliwa
Habari April 23, 2026
TEA, Wizara ya Elimu Zanzibar Kushirikiana Kuimarisha Miradi ya Elimu
Habari April 23, 2026
Bajeti Yadhihirisha Uhakika Wa Nishati Nchini
Habari April 23, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?