MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TARURA yaokoa kiasi kikubwa cha fedha kwa kujenga madaraja ya mawe
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TARURA yaokoa kiasi kikubwa cha fedha kwa kujenga madaraja ya mawe
Habari

TARURA yaokoa kiasi kikubwa cha fedha kwa kujenga madaraja ya mawe

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: UJENZI wa madaraja ya mawe 275 nchini, ndani ya miaka saba umetumia takribani sh bilioni 10 , kiasi hicho cha fedha kikiwa ni kidogo, tofauti kama yangejengwa ya zege.
Mhandisi Mshauri kutoka Wakala wa Barabara ya Vijijini na Mijini ( Tarura), Phares Ngeleja ameeleza hayo katika Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi yanayoendelea Nzuguni jijini Dodoma.
Ngeleja amesema, ” Kwa mfano tunajenga madaraja ya mawe ambayo gharama yake ni nafuu zaidi ukilinganisha na daraja la zege,”.
Amesema gharama ingekuwa kubwa na kufikia sh bilioni 50, kama wangejenga madaraja hayo kwa kutumia nondo na zege.
“Kwa hiyo utaona utofauti mkubwa ambao tumeweza kuokoa hela nyingi  sana ambazo zingeweza kutumika kwenye kazi nyingine.
Amesema njia hiyo ya kutumia mawe ni nafuu, hivyo TARURA imeona ili waweze kuifungua nchi kwa kipindi lifuoi hakuna budi kutumia teknolojia zinazotumia gharama nafuu.
Akizungumzia barabara amesema wanajenga kwa kutumia teknolojia mbalimbali  ikiwemo ya mawe ambayo wameitumia mikoa ya Mwanza,Kigoma. Rukwa na Morogoro.
Amesema kwenye barabara wanashirikiana na wadau mbalimbali katika ujenzi wa gharama nafuu.

You Might Also Like

Majukwaa YA Dini Yaimarishe Mapambano Dhidi ya Magonjwa Ya Mlipuko

Nchi Za SADC Zahimizwa Kutunza, Kulinda Amani

Kanisa lakabidhi jengo la watoto la milioni 595 kwa serikali

Dkt. Majule Ahoji Hatua za Kulinda Wananchi Dhidi ya Mikopo Hatari

COSOTA Yapokea Migogoro 136 Ndani Ya Miaka Minne

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TARURA yaimarisha ubora wa barabara kwa kuwa na maabara mikoani
Next Article Miradi ya Maendeleo Isimamiwe kwa Uadilifu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yaweka Mkazo Kufufua Viwanda Musoma Ili Kuongeza Ajira
Habari April 24, 2026
Program Ya Mama Samia Ya Kurasimisha Ujuzi Yazinduliwa
Habari April 23, 2026
TEA, Wizara ya Elimu Zanzibar Kushirikiana Kuimarisha Miradi ya Elimu
Habari April 23, 2026
Bajeti Yadhihirisha Uhakika Wa Nishati Nchini
Habari April 23, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?