MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Erio atoa elimu ya bidhaa bandia kwenye mabanda nanenane
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Erio atoa elimu ya bidhaa bandia kwenye mabanda nanenane
Habari

Erio atoa elimu ya bidhaa bandia kwenye mabanda nanenane

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Ushindani( FCC), William Erio, ametoa elimu ya namna ya kuepukana na bidhaa bandia kwa wakulima, wafugaji na wavuvi jijini Dodoma.
Erio ametoa elimu hiyo katika Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi yajulikanayo kama nane nane yanayoendelea Viwanja vya Nzuguni Dodoma.
Amesema katika kuepuka bidhaa bandia wadau mbalimbali wanapaswa kununua bidhaa zao kutoka kwa wazalishaji wenyewe au wale walioidhinishwa na wazalishaji ili wapate vitu vitakavyowasaidia kuwa na bidhaa bora.
“Kama tume tumeshiriki katika maonesho haya kwa kutoa elimu kwa umma kuelimisha kuhusu shughuli za taasisi kuwa ni pamoja na kulinda na kushajihisha ushindani, kwa sababu watu wanatengeneza biashara zinazofanana
“Vile vile tumetoa elimu jinsi ya kumlinda mlaji. Kubwa tumewaambia wao kuhusu kuepukana na bidhaa bandia, kwa sababu wapo katika uzalishaji wanaweza wakaagiza bidhaa wanazitumia.
“Katika uzalishaji bidhaa hizo kama zitakuwa bandia, zitafanya bidhaa zao zikose ubora,” amesema.
Amesema kwenye kilimo wakulima wakipata pembejeo sahihi watazalisha vizuri, zikiwa bandia au za kughushi watakosa mapato mazuri.
“Tumewaeleza kuhusu vifungashio kwamba wahakikishe vinakidhi viwango wala hakuna anayeweza kughushi ili kuwaharibia soko,” amesema.

You Might Also Like

Mbunifu Alilia Uwepo Wa Miongozo Kwa Wagunduzi

Wahifadhi Saohill Wapongezwa

Nguvu Zaidi Iongezwe Kwenye Tafiti Zinazogusa Maisha Ya Jamii

Wajumbe TSC watakiwa kutembelea ofisi ngazi ya wilaya

Silinde Akabidhi Nyaraka za Kufungua Masoko Mapya Nje ya Nchi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article PSSSF sasa kidijitali
Next Article Umwagiliaji kumwezesha mkulima kulima mara mbili mpaka tatu kwa mwaka
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?