MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tanzania yqpata dola bilioni 2.3 kwa kuuza matunda, kunde nje
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tanzania yqpata dola bilioni 2.3 kwa kuuza matunda, kunde nje
Habari

Tanzania yqpata dola bilioni 2.3 kwa kuuza matunda, kunde nje

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
TANZANIA imepata dola za Marekani bilioni 2.32 kwa kuuza tani milioni 1.57 za mazao ya matunda na jamii ya kunde nchini China, India, Marekani, Pakistan na Brazil.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hayo leo wakati akizungumza na viongozi na wananchi mbalimbali waliohudhuria ufunguzi wa Maonesho ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na Sherehe za Nanenane ya Mwaka 2024 katika viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma.
Amesema Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula na Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko imeingia makubaliano ya kuuza tani milioni 1.25 za mahindi.
“Kati ya hizo, tani 650,000 zitauzwa Zambia; tani 500,000 zitauzwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na tani 100,000 kwa Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa,” amesema.
Aidha, Waziri Mkuu amesema Serikali imewezesha upatikanaji wa soko la vanilla, pilipili manga, karafuu, nanasi, kakao, viazi mviringo, tumbaku na ndizi katika nchi za China, Marekani, Pakistani, Afrika Kusini na India ambayo yanatarajiwa kufunguliwa hivi karibuni.
“Kwa upande wa wafugaji, hadi Aprili, 2024 jumla ya tani 13,745 za nyama zenye thamani ya dola za Marekani milioni 56 zimeuzwa katika nchi za Bahrain, Comoro, Hong Kong, Jordan, Kenya, Kuwait, Oman, Qatar, Rwanda, Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu na Vietnam.
Pia vipande 1,542,916 vya ngozi vyenye thamani ya shilingi bilioni saba vimeuzwa katika nchi za Nigeria, Togo, Kenya, Ethiopia na Pakistan.”  amesema.
Kwenye sekta ya uvuvi, Waziri Mkuu amesema hadi kufikia Aprili, 2024, tani 41,271 za mazao ya uvuvi na samaki hai wa mapambo 134,572, wenye thamani ya shilingi bilioni 515.78, waliuzwa katika nchi za Umoja wa Nchi za Ulaya, Canada, Marekani, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, China, Zambia, Uganda na Malawi.

You Might Also Like

Japan Yatoa Bilioni 27 Kuboresha Sekta Ya Afya

TUGHE Kujenga Jengo La Bilioni 10, Chawapa Zawadi Wafanya Kazi Hodari Zaidi Ya Bilioni Tatu

Thamani ya Fedha Ionekane Kwenye Utekelezaji wa Miradi-Nyamoga

Matokeo Ya Usaili TRA Kutangazwa April 25,2025

Mwanjala Wa TRC Aelezea Umuhimu Wa VETA

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Rais Samia katika uzinduzi rasmi safari za SGR
Next Article Rais Samia afurahia SGR
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

PSSSF Itaendelea Kuwekeza Kwenye Maeneo Salama Yenye Tija
Habari July 8, 2025
Taasisi Za Umma Zasisitizwa Kuzingatia ubora Wa Mikataba Katika Utekelezaji Wa Majukumu Yao
Habari July 8, 2025
VETA Yang’ara Sabasaba
Habari July 8, 2025
Mashine Kusaidia Uuzaji Vinywaji Bila Muuzaji
Habari July 8, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?