MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TFRA yazindua Chama cha wafanyabiashara wa Mbolea
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TFRA yazindua Chama cha wafanyabiashara wa Mbolea
Habari

TFRA yazindua Chama cha wafanyabiashara wa Mbolea

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
 Na Mwandishi Wetu
WAFAMYABIASHARA wa mbolea nchini wametakiwa kushirikiana na serikali  kutoa elimu ya matumizi sahihi ya mbolea  kwa wakulima.
Wito huo umetolewa na Kaimu Meneja  wa  Mamalaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Joshua Ng’ondya  wakati akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji  Joel Laurent aliyekuwa mgeni rasmi wakati wa uzinduzi wa Chama cha Wafanyabiashara wa Mbolea wa Nyanda za Juu Kusini (SHAU) na Mkutano Mkuu wa wanachama wake uliofanyika katika ukumbi wa TUGHIMBE , Mbeya.
Ng’ondya  amesema, hivi karibuni Mamlaka imezindua kampeni ya Kilimo ni Mbolea yenye lengo la kuhamasisha matumizi sahihi ya mbolea pamoja na usajili wa wakulima na kuwasihi wafanyabiashara hao kuwa miongoni mwa watekelezaji wa utoaji  wa elimu ya mbolea kwa wakulima ili kuongeza uzalishaji na baadaye kukuza uchumi wa mtu mmojammoja na taifa kwa ujumla.
Aidha, amewataka wafanyabiashara hao kuwa waaminifu na waadilifu ili kuepuka mkono wa sheria na kueleza Serikali haitamfumbia macho yeyote atakayekiuka na kuuza mbolea za ruzuku kinyume na taratibu zilizowekwa.
Pamoja na hayo, Ng’ondya aliwataka mawakala hao kuwahamasisha wakulima kujisajili ili waweze kunufaika na mbolea za ruzuku na kwa upande wa wafanyabiashara amewataka kuonyana wao kwa wao  pindi wanapomwona mmoja wao akikiuka taratibu ili kumwepusha na changamoto ya kuona biashara anayoifanya ni kero badala yake impe manufaa.
Amesema, lengo la kutoa ruzuku ya mbolea ni kuwasaidia wakulima waweze kupunguza gharama za uzalishaji na kuwafanya wakulima wazalishe kwa tija.
Kwa upande wake Katibu Tawala wa  Wilaya ya Mbeya Mohamed Aziz Fakihi ameeleza kuwa, serikali inapenda kuona umoja huo unafanya vizuri ili kuwanufaisha wakulima kwa kuwafikishia pembejeo katika maeneo yao na kwa wakati unaofaa.

You Might Also Like

PURA Yajivunia Agenda Ya Matumizi Ya Nishati Safi

Shemdoe apongeza

Waandishi wa Habari wa Afrika wapata mafunzo ya Kuandika Habari za Uhamiaji

SADC Yatathmini Maendeleo ya Mpango wa RISDP Katika Mkutano wa 45 Madagascar

TANESCO Tunathamini Wadau Wa Maendeleo- Nyamo-Hanga

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Zitumieni fursa za misitu na nyuki-Tafori
Next Article Sera mpya ya viwanda kuzinduliwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu
Habari January 9, 2026
Tuna Deni La Kusimamia Miradi Na Kusikiliza Kero za wananchi Ili Kuleta Maendeleo Ya Kweli-Salome
Habari January 9, 2026
Rais Dkt Samia Azindua Majengo Ya Kisasa
Habari January 8, 2026
TEA, UNICEF Watekeleza Miradi ya Elimu Visawani Zanzibar
Habari January 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?