MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Afrika ijadili changamoto sekta ya utalii – UN
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Afrika ijadili changamoto sekta ya utalii – UN
Habari

Afrika ijadili changamoto sekta ya utalii – UN

Author
By Author
Share
2 Min Read
Afrika ijadili changamoto za Sekta ya utalii-UN
Na Mwandishi Wetu- Zambia
KATIBU  Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism),Zurab Pololikashvili amezitaka nchi za Afrika kuzungumzia mustakabali wa Sekta ya utalii  na kujadili changamoto mbalimbali,
Ikiwemo ya usafiri wa anga kuwezesha watalii kufika katika maeneo ya utalii na kuweka mikakati ya kukuza na kutangaza  utalii wa Bara la Afrika
Amesema hayo Leo katika mkutano huo unaoendelea kwenye hoteli ya Radisson Blue jijini Livingstone Zambia wakati akifungua mkutano wa 67 wa Mawaziri wa Utalii wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism) Kanda ya Afrika (67 CAF).
Amesisitiza nchi za Afrika kushirikiana katika utekelezaji wa miradi ya utalii na kutafuta  fursa mbalimbali za uwekezaji katika Sekta ya Utalii.
Naye Waziri wa Utalii wa Zambia,  Rodney Sikumba amesema mkutano huo ni fursa pekee kwa nchi za Afrika kuungana katika kushughulikia ipasavyo masuala yanayozuia ukuaji endelevu wa Sekta ya Utalii.
“Kwa muda, tumekuwa tukizungumza juu ya ustahimilivu na ukuaji endelevu wa Sekta ya Utalii kwa sababu ya kile kilichotokea mwaka 2019, wakati huu tunapaswa kuwa na suluhisho bora na sahihi kwa changamoto yoyote inayojitokeza kuzuia uendelevu wa Sekta ya Utalii” amesisitiza.
Pia, amesema inaridhisha kwamba  takwimu za Baraza Kuu la 121 la Baromita ya Utalii Duniani zinaonesha kuwa kwa robo ya kwanza ya mwaka 2024 Watalii wa Kimataifa walifikia asilimia 97% ikilinganishwa na waliofika kabla ya janga la UVIKO – 19 mwaka 2019.
Amesema pamoja na utalii  kurejea katika hali yake ya kawaida baada ya janga la UVIKO-19, nchi za Afrika hazitakiwi kurudi nyuma kuiendeleza na kuikuza sekta hiyo.
Waziri wa Maliasili na Utalii,  Angellah Kairuki ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki katika ufunguzi wa mkutano huo unaondelea nchini Zambia.

You Might Also Like

Wagombea Wa CCM Dodoma Mjini Waanza Kujinadi kwa Wajumbe

FCC Yapongezwa Kukabili Bidhaa Bandia

Maofisa Tarafa na Watendaji wa Kata Waaswa kuwa wabunifu

HATUNA HURUMA NA WADANGANYIFU KWENYE MITIHANI – WAZIRI MKENDA

UDSM  Yakamilisha Utafiti Wa Dawa Ya Kusafisha Sumu Kwenye Maji

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kadi za mpiga kura zenye jina la zamani la Tume ni halali
Next Article Fanyeni kazi kwa bidii kulinda taswira ya TARURA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?