MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: BMT Kutumia Tamasha La Taifa La  Utamaduni Kuelimisha Wananchi Kuhusu Fursa Za Afcon
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > BMT Kutumia Tamasha La Taifa La  Utamaduni Kuelimisha Wananchi Kuhusu Fursa Za Afcon
Habari

BMT Kutumia Tamasha La Taifa La  Utamaduni Kuelimisha Wananchi Kuhusu Fursa Za Afcon

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu,Morogoro

BARAZA la Michezo La Taifa (BMT) limesema linatumia Tamasha la nne la Kitaifa La Utamaduni 2026 linaloendelea mkoani Morogoro kutoa elimu kwa wananchi kuhusu michezo na namna wanavyoweza kunufaika na fursa za mashindano ya mpira wa miguu kwa Mataifa ya Afrika (AfCON)  yanayotarajiwa kufanyika nchini mwakani 2027.
Ofisa Michezo Mwandamizi wa BMT, Charles Maguzu amesema hayo wakati akizungumza katika banda la BMT katika Tamasha la Utamaduni linaloendelea mkoani humo na kuongeza kuwa mashindano ya Afcon  nin muhimu kila mtu anufaike na fursa zilizomo.
Habari Picha 13439
Amesema ni muhimu kila mwananchi kushiriki kdri awezavyo ili kunufaika kiuchumi kulingangana na shughuli itakayokuwa ikiendelea katika viwanja vilivyoko Arusha, Zanzibar na Dar es Salaam.
“Wananchi wote tunawapa elimu wajue fursa hio ni ya wote,kama kuna mtu ana biashara ya nguo ajipange aje avune fedha,wa Kuuza karanga ajipange na hata wenye hotel pia wa wajitokeze waone ni namna gani wanaweza kuhamasisha wageni watakaokuja wapate huduma,”amesema Maguzu.
Amesema pia wananchi wanapewa mbinu namna wanavyoweza kupata mitaji kwa ajili ya kufikia ndoto zao za kufanya biashara wakati wa  mashindano hayo ambapo BMT inawaunganisha na taasisi za fedha kuchukua mikopo au kwenye Halmashauri kupata mikopo ile ya vijana na kunufaika.
Habari Picha 13440
Habari Picha 13441
Habari Picha 13442
Habari Picha 13443
Amesisitiza kuwa mashindano ya Afcon yanahamasisha watu kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini na kwamba ni muhimu kushangilia lakini kuhamasisha wageni kutembelea vivutio hivyo.
Kadhalika amesema wanatumia tamasha hilo kuhamasisha wananchi kutoacha kucheza michezo ya asili ambayo mababu wa zamani waliicheza jambo litakalosaidia kulinda utamaduni wa kila mmoja.

You Might Also Like

TUGHE: Wafanyakazi wapewe haki ya kujiunga vyama vya wafanyakazi

Mbunge Asisitiza Sheria za Majiko Safi Ili Kulinda Mazingira

TARI Yatikisa Sabasaba Na Mti Wa ‘Allspice’

Ridhiwani Aongoza Waliojiajiri Kujiunga, Kuweka Akiba NSSF

Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Teknolojia Ya SmartShamba Planter Yageuza Dakika 30 Kuwa Tumaini La Mkulima
Next Article Mfuko Wa Utamaduni Watoa Sh Bil 14.7 Kwa Miradi Ya Sanaa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mfuko Wa Utamaduni Watoa Sh Bil 14.7 Kwa Miradi Ya Sanaa
Habari August 26, 2026
Teknolojia Ya SmartShamba Planter Yageuza Dakika 30 Kuwa Tumaini La Mkulima
Makala August 25, 2026
OUT: Elimu Sasa Kiganjani
Habari Uncategorized August 24, 2026
NGARUMA VTC  Kutoa Mafunzo Katika Fani Mbalimbali Za Ufundi
Habari August 24, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?