MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Airtel Yajenga Darasa La Fursa Katika Shule Ya Sekondari Magaoni,Tanga
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Airtel Yajenga Darasa La Fursa Katika Shule Ya Sekondari Magaoni,Tanga
Habari

Airtel Yajenga Darasa La Fursa Katika Shule Ya Sekondari Magaoni,Tanga

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Lyatuu,Tanga
MKUU Wa Idara Ya Mawasiliano Na Uhusiano Airtel,Jackson Mmbando amesema,watajenga darasa la fursa (smart class) katika shule ya sekondari Magaoni iliyoko jijini Tanga kwa lengo la  kuwezesha wabunifu kupanua wigo wa mawazo yao.
Amesema hayo katika  uzinduzi  wa Program  inayowezesha wabunifu kulinda na kumiliki  mawazo yao na teknolojia zao ijulikanayo kama Inno IP pamoja na program ya Fursa Women Business ya kuwezesha wanawake kutumia mifumo ya kidigitali.
Habari Picha 13395
Habari Picha 13396
Mmbando amesema hayo katika katika hafla ya kutia saini ujenzi aa jengo hilo kwenye maadhimisho ya wiki ya Elimu,Ujuzi na Ubunifu 2026 inayoendelea katika viwanja vya Usagara jijini Tanga.
Program hizo  zinatekelezwa kwa ushirikiano kati ya Tume Ya Taifa Ya Sayansi Na Teknolojia (COSTECH) kupitia DTBi pamoja na Wakala Wa Usajili Wa Biashara Na Leseni (BRELA) pamoja na Airtel.
Kuhusu Airtel  amesema kupitia Airtel Smart Class  watatoa mafunzo ya ujasiriamali na kidijitali kwa wanawake na vijana.
Habari Picha 13397
Darasa kama hilo litakuwepo  Magaoni na Usagara na kuwataka wabunifu na wajasiriamali kulitumia kukuza ujuzi.
“Tayari kuna  darasa kama hilo katika shule mbalimbali nchini zikiendelea kuibua na  kukuza vipaji vya vijana na wanafunzi katika ubunifu ikiwemo shule ya sekondari Kijitonyama Dar es Salaam,” amesema.
Habari Picha 13398
Habari Picha 13399
Habari Picha 13400

You Might Also Like

TALGWU Yawakutanisha Wawakilishi Wa Wafanyakazi Wenye Ulemavu Dodoma

Rais Samia ashuhudia JOWUTA Ikiwa mwanachama wa  TUCTA 

Taska Mbogo Aitaka Serikali Kurejesha Viwanda, Kuimarisha Kilimo

Majaliwa Amwakilisha Rais Samia Kwenye Kilele Cha Siku Ya Utumishi Wa Umma

Mikoa mitatu kuanzishwa vituo vya gesi asilia

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Bunifu ya dawa ya mayai yapunguza hasara kwa wafugaji wa kuku
Next Article VETA kumpa nafasi Igobeko kuongeza ujuzi na kuwawezesha wengine
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

VETA kumpa nafasi Igobeko kuongeza ujuzi na kuwawezesha wengine
Habari August 23, 2026
Bunifu ya dawa ya mayai yapunguza hasara kwa wafugaji wa kuku
Makala August 22, 2026
Dkt Yonaz Awakumbusha Vijana Kulinda Afya Zao Katika Mapambano Dhidi Ya Ukimwi
Habari August 22, 2026
Maji Yageuka Gesi, Lusano Aibua Ubunifu wa Nishati Safi
Makala August 22, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?