MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: WCF Yapigia Debe Ushirikiano na Teknolojia Kuimarisha Hifadhi ya Jamii
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > WCF Yapigia Debe Ushirikiano na Teknolojia Kuimarisha Hifadhi ya Jamii
Habari

WCF Yapigia Debe Ushirikiano na Teknolojia Kuimarisha Hifadhi ya Jamii

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
MFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeshiriki katika mjadala wa kitaaluma ulioandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), uliobeba mada isemayo, “Kuimarisha Hifadhi ya Jamii na Uendelevu wa Biashara kupitia Ushirikiano wa Kimkakati, Ufanisi wa Mifumo ya Udhibiti na Ushirikiano wa Taasisi.”
Mjadala huo umefanyika Juni  25, 2026 jijini Dar es Salaam, wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Waajiri ulioambatana na Kongamano la Waajiri, ukijumuisha wadau mbalimbali kutoka sekta ya ajira, hifadhi ya jamii na taasisi nyingine muhimu.
Akichangia katika mjadala huo, Mkuu wa Kitengo cha Takwimu na Hadhari wa WCF, James Tenga, ameelezea umuhimu wa kuimarisha mifumo ya hifadhi ya jamii kwa kuweka nguvu kwenye matumizi ya teknolojia na miradi ya kimkakati kama Jamiinamba.
Habari Picha 12667
Aidha, amebainisha kuwa, tukiweza kushirikiana na kutumia mifumo hii vizuri, itasaidia kupanua wigo wa wanachama, kuongeza fursa za ajira, na kuleta tija pamoja na ukuaji wa kiuchumi kwa mifuko ya hifadhi, waajiri na wafanyakazi kwa ujumla.
Ushiriki wa WCF katika kongamano hilo umeendelea kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi za hifadhi ya jamii, waajiri na wadau wengine muhimu, kwa lengo la kukuza mazingira bora ya kazi, kuimarisha ulinzi wa wafanyakazi, na kuhakikisha uendelevu wa shughuli rasmi za biashara nchini.
Habari Picha 12668

You Might Also Like

Rais Samia kufungua kikao kazi cha watendaji serikalini

Ridhiwani Awashika Mkono Wenye Mahitaji Maalum

Ridhiwani Ashiriki Mazishi Ya Mwenyekiti SHIVYAWATA

TUCASA Yatoa Mapendekezo ya Sheria, Sera Kwa Serikali Kutatua Ucheleweshaji Wa Malipo

Majaliwa Afanya Harambee Ya Mei Mosi 2025

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Sabasaba 2026 Kuingiza Teknolojia Mpya na Fursa za Uwekezaji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Sabasaba 2026 Kuingiza Teknolojia Mpya na Fursa za Uwekezaji
Habari June 27, 2026
Benjamin Mkapa Yaanzisha Mfuko Kuchangia Wagonjwa Wa Upandikizaji Figo,Uloto Wasiokuwa Na Uwezo
Habari June 26, 2026
Huduma Ya Kupandikiza Uume Benjamin Mkapa Sh mil 10
Habari June 26, 2026
Waziri Sangu Awataka Waajiri Kutumia Fursa ya Msamaha wa Tozo wa NSSF
Habari June 26, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?