MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: ILO Yazindua Mwongozo Wa Habari Za Uhamiaji, Jowuta Yatia Neno
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > ILO Yazindua Mwongozo Wa Habari Za Uhamiaji, Jowuta Yatia Neno
Habari

ILO Yazindua Mwongozo Wa Habari Za Uhamiaji, Jowuta Yatia Neno

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Mwandishi wetu, Mombasa
SHIRIKA la Kimataifa la Kazi Duniani (ILO), limezindua mwongozo wenye kanzi data kwa wanahabari kuandika na kutangaza habari za wahamaji.
Mwongozo huo umezinduliwa jana Ijumaa, Juni 20,2026 na Mshauri Mkuu wa Kiufundi kutoka ILO, Charles Autheman  katika warsha ya viongozi  wa
Vyama vya Wafanyakazi vya Wanahabari katika Ukanda wa Afrika ya Mashariki inayoendelea Mombasa nchini Kenya.
Habari Picha 12524
Akizindua mwongozo huo, Autheman amesema  sasa  unapatikana katika mtandao wa ILO ukiwa katika lugha ya Kingereza, Kifaransa, Kiarabu na nyinginezo isipokuwa Kiswahili.
Mtaalam huyo amesema bado kuna changamoto katika uandishi wa habari za wahamaji na wakimbizi hivyo ILO imetoa mwongozo huo ili kurahisisha uandishi ikiwamo matumizi ya maneno yasiyo na ukakasi.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyakazi katika Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA), Mussa Juma  ameshauri ILO kuandaa  pia mwongozo huo kwa kugha ya Kiswahili  kwa kuwa  ni lugha ya kimataifa ambayo inakua kwa kasi duniani na kuwafikia watu wengi.
“Tunalifanyia kazi lakini pia Tanzania mnaweza kutafsiri mwongozo huu kwa lugha ya Kiswahili,” amesema mtaam huyo akijibu hoja hiyo.
Habari Picha 12525
Warsha hiyo imeandaliwa na ILO kwa kushirikiana na Shirikisho la Wanahabari Afrika (FAJ), Shirikisho la Wanahabari Afrika Mashariki (FEAJ) na Chama cha Waandishi nchini Kenya (KUJ)  .
Warsha hii ya kikanda imehudhuriwa na viongozi wa vyama na mashirika ya wanahabari kutoka Comoro, Jibuti, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Sudan, Somalia, Sudan Kusini, Tanzania na Uganda.

You Might Also Like

TAKUKURU kuelimisha madhara ya rushwa wakati wa uchaguzi

TALGWU Yaipongeza Timu Ya Makatibu Wa Mikoa Na Mawakili Wa Kanda Kwa Kutoa Huduma Bora Kwa Wanachama

Trilioni 11.5 Zimetumika Miradi Ya Maendeleo Kigoma

Watumishi Wa Afya Waliofadhiliwa Watakiwa Kukamilisha Taratibu Ifikapo Novemba 22,2025

Watu Zaidi Ya 3500 Wapatiwa Huduma Ya Kisheria Wizara Ya Katiba Na Sheria

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Serikali Yawahamasisha Vijana Kurasimisha Ujuzi Kupitia Programu ya Mama Samia
Next Article BRELA Yahimiza Urasimishaji Biashara  Kuongeza Fursa Za Ukuaji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

OUT Yazindua Programu Mpya za Masomo Kukidhi Mahitaji ya Uchumi wa Kisasa
Habari June 21, 2026
BRELA Yahimiza Urasimishaji Biashara  Kuongeza Fursa Za Ukuaji
Habari June 21, 2026
Serikali Yawahamasisha Vijana Kurasimisha Ujuzi Kupitia Programu ya Mama Samia
Habari June 20, 2026
Msigwa Asisitiza Mabonanza Ya Michezo Na Sio Kukusanyika Kuvuruga Amani
Habari June 20, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?