MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wizara Ya Viwanda Kutekeleza Vipaumbele Saba, Ipo  Miradi Ya Viwanda Ya  Kimkakati
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wizara Ya Viwanda Kutekeleza Vipaumbele Saba, Ipo  Miradi Ya Viwanda Ya  Kimkakati
Habari

Wizara Ya Viwanda Kutekeleza Vipaumbele Saba, Ipo  Miradi Ya Viwanda Ya  Kimkakati

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu,Dodoma
KATIKA kutekeleza bajeti ya Wizara ya Viwanda Na Biashara kwa mwaka 2026/27  imeweka vipaumbele saba  ambavyo ni pamoja na Kuendelea na utekelezaji wa miradi ya kielelezo na kimkakati ya Viwanda.
Waziri wa Wizara hiyo, Judith Kapinga amesema hayo wakati akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo Bungeni,ambapo Wizara inaomba kuidhinishiwa jumla sh bilioni 138.
Amevitaja vipaumbele vingine kuwa ni kuimarisha uwezo wa uzalishaji viwandani na utoaji huduma kwa kuboresha mazingira wezeshi ikiwa ni pamoja na ujenzi wa miundombinu ya kongani na mitaa ya viwanda  kwa ajili ya viwanda vidogo na vya kati na  Kuchochea maendeleo ya viwanda na biashara kupitia ubunifu na matumizi ya teknolojia za kisasa, elimu na mafunzo ya ujuzi.
Kapinga amesema vipaumbele vingine ni kuimarisha upatikanaji wa fedha na mitaji kwa wajasiriamali na wazalishaji viwandani, kuboresha mazingira ya biashara na kuchochea ukuaji wa Sekta binafsi na kuendelea na utafutaji wa masoko kwa bidhaa na huduma zinazozalishwa nchini.
Habari Picha 12197
Amesema pia serikali  itaanzisha na kuendeleza mawazo ya biashara na bunifu  kwa vijana na kuanzisha vituo kwa vijana kwa lengo la kuchochea uchumi.
Amesema  Vituo hivyo ni muhimu vitakavyowawezesha vijana wenye mawazo bunifu ya biashara kupata mazingira rafiki ya kubuni, kukuza na kuendesha biashara zenye ushindani katika soko la ndani na la kimataifa.
 Aidha amesema  katika kipindi hiki ambacho dunia inabadilika kwa kasi kupitia maendeleo ya teknolojia,  uchumi wa kidijitali na matumizi ya maarifa, ni muhimu kwa nchi yetu kuwekeza katika ubunifu na ujasiriamali wa vijana.
Aidha, amesema kwasasa, mfumo wa biashara duniani umejikita katika huduma zinazotolewa kidijitali ambapo inategemewa mauzo ya biashara ya kidijitali yatakuwa mara mbili zaidi ya biashara ya bidhaa.

You Might Also Like

Uteuzi: Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

Ridhiwani Kikwete Ajiandikisha Kupiga Kura Kijijini Msoga

Vyama Vya Wafanyakazi Himizeni Na Kufundisha  Amani Ya Nchi Kuelekea Uchaguzi Mkuu -Ridhiwan

Mwalim: Niko Tayari Kushirikiana na Majaliwa Nikipewa Ridhaa ya Urais

TALGWU Chafanya Kikao Cha Baraza La Wafanyakazi Dodoma

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Biashara 15 Hazitakiwi Kufanywa Na Wageni Ndani Ya Nchi
Next Article TPHPA Yatumia Mbinu za Kibaiolojia Kudhibiti Gugu Ziwa Victoria
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Airtel Yajenga Darasa La Fursa Katika Shule Ya Sekondari Magaoni,Tanga
Habari August 23, 2026
Bunifu ya dawa ya mayai yapunguza hasara kwa wafugaji wa kuku
Makala August 22, 2026
Dkt Yonaz Awakumbusha Vijana Kulinda Afya Zao Katika Mapambano Dhidi Ya Ukimwi
Habari August 22, 2026
Maji Yageuka Gesi, Lusano Aibua Ubunifu wa Nishati Safi
Makala August 22, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?