MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TMA Yakamilisha Ufungaji Mitambo Ya Uangalizi Mpanda, Pemba
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TMA Yakamilisha Ufungaji Mitambo Ya Uangalizi Mpanda, Pemba
Habari

TMA Yakamilisha Ufungaji Mitambo Ya Uangalizi Mpanda, Pemba

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu,Dodoma
SERIKALI imesema  katika kuboresha huduma za hali ya hewa  Tanzania (TMA) zinazotolewa kwa sekta ndogo ya usafiri wa anga, TMA imekamilisha ufungaji wa mitambo miwili ya uangazi wa hali ya hewa katika viwanja vya ndege vya Mpanda na Pemba.
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawe amesema hayo wakati akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa Bunge huku akiomba kuidhinishiwa jumla ya Sh trilioni  2.87 Kati ya fedha hizo, Sh 126,041,236,000 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na Sh  2,746,696,846,000 ni fedha za Miradi ya Maendeleo.
Amesema , TMA imeendelea na ujenzi wa miundombinu ya hali ya hewa ikiwemo maabara ya uhakiki wa vifaa vya hali ya hewa (Calibration Center) Dar es Salaam ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 46
 Amesema Kuendelea kuboresha huduma za hali ya hewa;Serikali kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeendelea na utoaji na udhibiti wa huduma za hali ya hewa nchini.
Amesema  katika Mpango na Bajeti ya mwaka wa fedha 2026/27, Wizara imezingatia Dira 2050, llani ya Uchaguzi Mkuu ya Chama cha Mapinduzi ya Mwaka 2025, Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano (FYDP IV 2026/27- 2030/31), Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa mwaka 2026/27, Mpango Mkakati wa Wizara wa Miaka Mitano (2026/27 – 2030/31 ) pamoja na maelekezo ya Viongozi Wakuu wa Serikali.

You Might Also Like

Fikeni kwa wakati CMA, mtatuliwe migogoro ya kikazi – Massawe

Mkongo Wa Mawasiliano Unalenga Kuleta Tija Kwa Wananchi

TPHPA Kuipokea Ndege Yake

Tanzania Ina Utolevu Wa Chakula Kwa Miaka Minne Uongozi Wa Samia

JOWUTA Yakutana na Waziri Ridhiwani, Kamishna wa Kazi Kujadili Changamoto za Wanahabari

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Abiria Mil 2.51  Wasafirishwa Na SGR Kuanzia Julai 2025 Hadi Sasa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Abiria Mil 2.51  Wasafirishwa Na SGR Kuanzia Julai 2025 Hadi Sasa
Habari May 13, 2026
Shehena  Inayohudumiwa Bandarini Yaongezeka  Kufikia Tani Mil 27.76
Habari May 13, 2026
TARURA Wataka Makandarasi Kulinda Njia Mbadala Kipindi cha Mvua Kubwa
Habari May 10, 2026
IITA Yawekeza Bilioni 410 Tanzania Kuimarisha Kilimo, Utafiti
Habari May 9, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?