MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Abiria Mil 2.51  Wasafirishwa Na SGR Kuanzia Julai 2025 Hadi Sasa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Abiria Mil 2.51  Wasafirishwa Na SGR Kuanzia Julai 2025 Hadi Sasa
Habari

Abiria Mil 2.51  Wasafirishwa Na SGR Kuanzia Julai 2025 Hadi Sasa

Author
By Author
Share
4 Min Read
Na Lucy Lyatuu,Dodoma
 SERIKALI  imesema  Usafirishaji kupitia reli  ya SGR   kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma umezidi kuimarika ambapo katika kipindi cha Julai, 2025 hadi Machi, 2026 jumla ya abiria milioni 2.51 walisafirishwa ikilinganishwa na abiria millioni 2.05 waliosafirishwa katika kipindi kama hicho kwa mwaka wa fedha 2024/25 sawa na ongezeko la asilimia 22.40.
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawe amesema hayo wakati akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa Bunge huku akiomba kuidhinishiwa jumla ya Sh trilioni  2.87 Kati ya fedha hizo, Sh 126,041,236,000 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na Sh  2,746,696,846,000 ni fedha za Miradi ya Maendeleo.
Amesema  katika kipindi cha kuanzia Julai, 2025 hadi kufikia Machi 2026, TRC ilisafirisha jumla ya tani 102,452 za mizigo ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Serikali ya kuanza usafirishaji wa mizigo kupitia reli ya SGR.
Amesema  Katika hatua za kuunganisha miundombinu ya reli ya SGR na MGR, Serikali imeendelea na uunganishaji wa reli hizo katika eneo la Ruvu ili kuwezesha usafirishaji wa mizigo kutoka Bandari za Dar es Salaam na Tanga, ambap0 utekelezaji wake umefika asilimia 85.
Habari Picha 12030
 Aidha, amesema  ujenzi wa kuunganisha reli za MGR na SGR unaendelea katika eneo la Bahi kwa lengo la kuwezesha uhamishaji wa mizigo (transhipment) kati ya reli hizo 2 na unaendelea vizuri.
 Profesa Mbarawa amesema Serikali inaendelea kuboresha Reli ya MGR kwa kubadilisha reli nyepesi na kuweka nzito, pamoja na kuongeza uwezo wa madaraja. Ukarabati huo unaendelea kupitia Mfuko wa Reli, ambapo hadi Machi 2026, kipande cha Kaliua-Mpanda kilikuwa kimekamilika kwa asilimia 32.72.
 Amesema  katika Kukabiliana na mafuriko yanayoathiri Reli ya MGR katika eneo la Kilosa-Kidete-gandu, Serikali imekamilisha ujenzi wa njia ya reli yenye urefu wa km 6.2 na daraja katika eneo la Godegode-Gulwe ambapo ujenzi umefikia asilimia 99.
Amesema Serikali kupitia TRC imeendelea na ujenzi wa Reli ya SGR ambapo hadi kufikia  Machi, 2026 ujenzi wa kipande cha kwanza Dar es Salam Morogoro (km 300) na kipande cha pili Morogoro Makutupora (km 422) umekamilika kwa sehemu kubwa. Aidha, TRC inaendelea na utoaji wa huduma ya usafiri wa treni kwa vipande husika.
 Amesema Kwa kipande cha Mwanza lsaka (km 341), ujenzi unaendelea na umefikia asilimia 68.77.
Amesema  39.  hadi kufikia mwezi Machi 2026, ujenzi wa reli ya SGR katika kipande cha tatu: Makutupora – Tabora (km 368) na kipande cha nne: Tabora Isaka (km 165) unaendelea ambapo kazi mbalimbali zinazoendelea kutekelezwa.
Kwa ujumla ujenzi wa vipande hivi 2 umekuwa na changamoto kwa muda mrefu, ambazo zilisababisha utekelezaji wake kuwa na kasi ndogo. Hata hivyo, Serikali tayari imepata suluhisho la kukamilisha ujenzi wake kwa kupata mkop0 wenye masharti nafuu wa thamani ya Dola za Marekani bilioni 1.277, sawa na takriban Shilingi trilioni 3.32.
Kadhalika  amesema kuanzia Januari, 2026 TRC imefanikiwa kuanza kujitegemea kwa upande wa Mishahara na Matumizi Mengineyo (0C) bila uwezeshaji kutoka MfukO Mkuu wa Serikali. Kwa kipindi cha takriban miaka 10, kiasi cha Shilingi bilioni 12.92 kila mwaka kilikUwa kinatolewa na Serikali kwa TRC kwa ajili ya mishahara.

You Might Also Like

Miradi ya maedeleo na Huduma za afya isimamiwe kwa ukaribu

China Yafundisha Wanafunzi DIT kuzifikia fursa

Mwalim: Mchagueni Mwalimu Wangu Wa Siasa Shibuda

Polisi Yaimarisha Usalama Timu za Simba na Yanga Kesho

Umeme Jua Kuchoche Uchumi Maeneo Ya Vijijini

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Shehena  Inayohudumiwa Bandarini Yaongezeka  Kufikia Tani Mil 27.76
Next Article TMA Yakamilisha Ufungaji Mitambo Ya Uangalizi Mpanda, Pemba
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TMA Yakamilisha Ufungaji Mitambo Ya Uangalizi Mpanda, Pemba
Habari May 13, 2026
Shehena  Inayohudumiwa Bandarini Yaongezeka  Kufikia Tani Mil 27.76
Habari May 13, 2026
TARURA Wataka Makandarasi Kulinda Njia Mbadala Kipindi cha Mvua Kubwa
Habari May 10, 2026
IITA Yawekeza Bilioni 410 Tanzania Kuimarisha Kilimo, Utafiti
Habari May 9, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?