MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mitandao Ya Kijamii Ilinde Maadili Ya Kitanzania-Makonda
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mitandao Ya Kijamii Ilinde Maadili Ya Kitanzania-Makonda
Habari

Mitandao Ya Kijamii Ilinde Maadili Ya Kitanzania-Makonda

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu,Dodoma

WIZARA Ya Habari,Utamaduni Sanaa Na Michezo imewataka wanamitandao ya kijamii nchini kuhakikisha wanabeba taswira ya kulinda maadili ya mtanzania na kupambana na mmomonyoko unaolikabili Taifa.

Waziri wa Wizara hiyo, Paul Makonda amesema Hayo wakati akizindua Ofisi Ya Tawi la Dodoma kwa Jumuiya Ya Wanahabari Wa Mitandao Tanzania (JUMIKITA).

Akizungumza Makonda amewataka wanamitandao hao kutokukubali kutumia maudhui yasiyo na maadili katika kurasa zao za mitandao ya kijamii na hata kubeba wale ambao Wana nia ya kuharibu maadili ya Tanzania.

” Acha niseme ukweli Ili mbadilike… kuharibu maadili yetu sio jambo la kusifiwa lazima kila mmoja kutambua misingi ya Taifa na kuilinda Kwa nguvu kubwa,” amesema Makonda na kuongeza kuwa maudhui yanayochapishwa yazingatie Mila, desturi na misingi ya jamii ya kitanzania.

 

Amewataka Kila mmiliki wa mtandao wa kijamii kuwa na kamati ya nidhamu ya kuonyana kuhusu maudhui yanayowekwa kwenye kurasa zaohuku wakitambua kuwa habari zina nguvu sana.
” Muwe na mfumo wa kufuatiliana na kuwajibishana Ili Taifa lisonge mbele,” amesema Makonda na kuwataka wanamitandao kuweka mifumonya kuwajibishana wenyewe kwa wenyewe.

Aidha ametoa maelekezo Kwa wanamitandao kutoka Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliwataka wanamitandao kuandaa shindano ambalo litatemgeneza maudhui yatakayobadilisha nchi hususani kwenye ukuaji wa uchumi Nchini.

“Mwanamitamdao atakayeshinda katika shindano hilo,Rais Dkt Samia ameahidi kutoa zawadi ya mil 10,lengo kalamu ya wanahabari itumike kuwa wino wa dhahabu,” amesema Makonda.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa JUMIKITA, Shaban Matwebe amesema wanamitandao wako tayari kufanya kazi kwa bidii na kwamba ni wakati sasa kwa kundi hilo kutambuliwa na kuwa rasmi

You Might Also Like

Mdemu Azindua Utafiti Uliofanywa na FES Kwa Kushirikiana Na COTWU – T

Stamico Yahimiza Ubunifu, Uaminifu Na Kujituma

TASAC Yapiga Marufuku Kampuni Binafsi Kusafirisha Shehena Hatarishi Za Migodini

Tutumie Mitandao Kwa Matumizi Yenye Manufaa – Kilimbe

Mkuu wa Mkoa akabidhi matrekta kwa wakulima kutoka Pass Leasing

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Rais Samia Amkabidhi Tuzo Profesa Ndunguru kwa Kuinua Mapato, Maboresho TPHPA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Rais Samia Amkabidhi Tuzo Profesa Ndunguru kwa Kuinua Mapato, Maboresho TPHPA
Habari May 3, 2026
Mwandishi Lucy Ngowi Miongoni mwa Waliong’ara Mei Mosi
Habari May 2, 2026
Tanzania yaendelea kuwa Shule ya Utumishi Barani Afrika,
Habari April 29, 2026
Wizara Ya Kilimo Yaomba Bunge Kuidhinisha Trilioni 1.1,Yaweka Mikakati Kuimarisha Sekta Hiyo
Habari April 28, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?