MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Kushughulikia Utitiri Wa Vyama Ndani Ya Sekta Binafsi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Kushughulikia Utitiri Wa Vyama Ndani Ya Sekta Binafsi
Habari

Serikali Kushughulikia Utitiri Wa Vyama Ndani Ya Sekta Binafsi

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu,Dodoma

SERIKALI imesema iko tayari kushughulikia utitiri wa vyama vingi vya sekta binafsi Ili kuwa na mwavuli mmoja ulio imara na makini na Wenye kufanya vizuri.
Waziri wa Nchi Ofisi Ya Rais Mipango Na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amesema hayo wakati akizungumza na viongozi wa sekta binafsi jijini hapa.
Amesema kumekuwepo na changamoto ya mkanganyiko wa sekta binafsi na kwamba lazima Serikali  ishuhulikie suala hilo Ili kwamba Kila mmoja ajiunge na Taasisi ya sekta binafsi Iliyo imara.
Habari Picha 11752
Amesema  lengo la kufanya hivyo ni Ili kufanya vizuri ambapo katika mkutano huo wadau hao wametakiwa kuendeleza muundo ambao utawezesha kuwa na ushirikiano na sekta binafsi na kuwa na miongozo itakayofuatwa na Wenye kutoa matokeo.
” Katika muundo huo tuwe na namna ya kutatua changamoto ambazo tunakutana nazo ziweze kutatuliwa ikiwemo za kiutawala au kiutendani,” amesema Profesa Mkumbo na kuongeza kuwa hio ni namna ya kusimamia mipango ya nchi na nna ya kuongeza uwekezaji.
Amesema lengo la kukutana na viongozi wa sekta hizo ni katika kufahamiana  na kuyajua majukumu ya  Wizara hio ikiwa ni pamoja na kuratibu programu za kuondoka umaskini,kuhamasisha uwekezaji,kusimamia na kuratibu maendeleo ya sekta binafsi lakini pia kuhakikisha mazingira ya biashara yanaimarishwa.
Habari Picha 11753
Amesema katika malengo ya Wizara hiyo inahitajika kuwa na sekta binafsi Iliyo imara na kwamba serikali  inaendelea kushughulikia vikwazo vyote vinavyokwaza sekta hiyo pamoja na mazingira yake.
Akizungumza NAIBU Katibu Mkuu wa   Jumuiya Ya Wafanyabiashara Tanzania (JWTZ),  Ismail Masoud amesema IPO haja Kwa Wizara hiyo kuweka mipango itakayowezesha Uchumi wa Nchi kukua Kwa Kasi na kuepuka kufanya kazi kwa mazoea.
Amesema sekta binafsi unaweza kukuza Uchumi na kufikia asilimia 15  lakini ni muhimu kufanya kazi kwa pamoja na ukiritimba kuondolewa Kwa baadhi ya watawala.

You Might Also Like

TMA yawafikia taasisi za utafiti wa kilimo

Watanzania Wametakiwa Wasiwachague Wanaotumia Rushwa

Jeshi La Uhifadhi Wasisitizwa Kuzingatia Misingi ya Haki za Binadamu

Serikali imejipanga Mkakati wa Taifa wa Matumìzi ya nishati safi ya kupikia – Mramba

Mgombea Urais CHAUMMA Asema Nchi Inahitaji Mawazo Mapya

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Bunge Marathon kufanyika April 18,yakidhi viwango vya kimataifa
Next Article Tume Ya Madini Kufuta  Leseni 40 Za Utafutaji Madini 
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yatoa Mwelekeo Maandalizi AFCON 2027, Yaimarisha Miundombinu Nchini
Habari April 17, 2026
Makampuni 100 kushiriki maonesho ya OSHA Njombe
Habari April 17, 2026
Ufaulu  Wa   Somo La Hisabati  Shida Ya Taifa- Wanu
Habari April 16, 2026
Ofisi ya Rais Mipango Yaomba Bilioni 144.85 kwa Bajeti 2026/27
Habari April 16, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?