MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wananchi wa Kasulu Vijijini Wananufaika na Uwekezaji Makere Forest Reserve
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wananchi wa Kasulu Vijijini Wananufaika na Uwekezaji Makere Forest Reserve
Habari

Wananchi wa Kasulu Vijijini Wananufaika na Uwekezaji Makere Forest Reserve

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

DODOMA: WANANCHI wa Jimbo la Kasulu Vijijini wanaendelea kunufaika na uwepo wa mwekezaji katika kitalu cha Makere Forest Reserve kupitia mgao wa fedha za maendeleo ya jamii, zaidi ya Sh. Milioni 12 kila mwaka, zinazotolewa na mwekezaji kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya vijiji.
Hayo yamesemwa Bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa Maliasili na Utalii,  Dkt. Ashatu Kijaji, akijibu swali la Mbunge wa Jimbo hilo,  Edibil Kazala Kinyoma, alipotaka kujua ni kwa kiasi gani wananchi wanapata faida kutokana na uwepo wa mwekezaji.
Dkt. Kijaji amesema kuwa kwa mwaka wa fedha 2024/2025, vijiji vya Kagera Nkanda, Chekenya na Kabulanzwili vilipokea Sh. Milioni 4.4 kila kimoja.
Habari Picha 11703
 Aidha, fedha zinazotokana na asilimia 25 ya ada ya wanyamapori wanaowindwa zinalipwa na Serikali kwa Halmashauri husika, kama inavyotolewa na Kifungu cha 137 cha Sheria ya Fedha ya Mwaka 2025.
Ameongeza kuwa asilimia 60 ya fedha hizi hutumika kutekeleza miradi ya maendeleo, huku asilimia 40 zikielekezwa katika shughuli za uhifadhi katika vijiji vinavyozunguka kitalu.
Sambamba na hayo, katika kipindi cha mwaka wa fedha 2024/25 na 2025/26, mwekezaji kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) wamechangia miradi ya jamii yenye thamani ya Sh. Milioni 166.4.
Fedha hizo zimewezesha kufadhili kambi ya huduma ya matibabu ya macho katika Halmashauri ya Kasulu, ujenzi wa madawati 100 katika shule za msingi Chekenya (25), Nyakasanda (25) na Nyantuku (50),
 Uchimbaji wa visima vya maji sita katika shule za msingi Kamganza, Kasasa, Mwitiri, Chekenya na Nyantuku, pamoja na kusaidia Kituo cha Afya cha Kagerankanda.

You Might Also Like

Serikali Yazidi Kuhamasisha Nishati Safi, Yatoa Mitungi 225 Kwa Watumishi Gereza kuu Maweni

Zabibu Ya Makutupora Nyekundu Yatajwa Kuwa Ya Kipekee Duniani

Watanzania Watakiwa Kufanya Kazi Kwa Bidii

Mabalozi Wa Utalii Waahidi Kuulinda Ushoroba Wa Kwakuchinja

Sagini Amwelezea Kaluta Amir Abeid Ni Alama Ya Kuigwa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mbunge Aibana Serikali Kuhusu Malipo ya Wafanyakazi wa Zamani SPM Mgololo
Next Article Kanzidata ya Taifa ya Uwekezaji Yalenga Kuboresha Takwimu na Kuvutia Wawekezaji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Ubunifu Wa Majengo Watakiwa Kuzingatia Tija Na Gharama Nafuu
Habari April 11, 2026
Waziri Ulega aridhishwa na miradi ya dharura TANROADS
Habari April 11, 2026
Mbunge Majule ataka wanawake wapewe elimu ya fedha na mitaji
Habari April 11, 2026
Mbunge Msita Ataka Ukarabati Wa Haraka Barabara Zilizoharibiwa Na Mvua
Habari April 11, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?