MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: CWT Yashauri Walimu Wasiwe Wasimamizi Wa Miradi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > CWT Yashauri Walimu Wasiwe Wasimamizi Wa Miradi
Habari

CWT Yashauri Walimu Wasiwe Wasimamizi Wa Miradi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
RAIS wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Dkt. Suleiman Ikomba, amesisitiza kuwa walimu wanapaswa kuepuka kutekeleza majukumu yasiyo ya taaluma yao, ili kuepuka kupata matatizo bila kujua.
Kauli hiyo imekuja baada ya walimu 17 kushikiliwa na polisi Manispaa ya Mpanda, mkoani Katavi, kuhusiana na miradi ya ujenzi wa miundombinu ya shule.
Dkt. Ikomba amesema ni muhimu kazi zisizo za walimu ziwezikwe mikononi mwa wataalamu husika ili walimu waweze kuzingatia jukumu lao kuu la kufundisha na kuchangia katika ujenzi wa taifa kupitia elimu.
“Ni muhimu kazi hizi zikaachwa kwa wataalamu husika ili walimu waweze kuzingatia zaidi taaluma waliyoisomea,” amesema, akiongeza kuwa CWT tayari imekuwa ikishauri serikali kuwasaidia walimu kuepuka majukumu yenye changamoto.
Katibu wa CWT Mkoa wa Katavi, Luya Ngonyani, akimwakilisha Katibu wa CWT Wilaya ya Mpanda, Joseph Kihwele, amesema kati ya walimu waliokamatwa, sita walitoka Shule ya Sekondari Kasokola na sita kutoka Shule ya Sekondari Rungwa. Wengine ni maofisa wa elimu wa kata na manispaa.
Kihwele amefafanua kuwa Shule ya Sekondari Rungwa ilipokea fedha za ujenzi wa mabweni mawili yenye thamani ya Sh. Milioni 21, huku Shule ya Sekondari ya Wavulana Katavi ikipokea zaidi ya Sh. Bilioni 4.1.
Walimu waliokuwa wasimamizi wa miradi hiyo walitekeleza majukumu yao kwa kufuata taratibu na miongozo iliyopo, huku miradi ikifikia hatua ya boma kwa viwango vinavyokubalika.
Walimu waliokamatwa wameachiwa kwa dhamana

You Might Also Like

EAC Yaweka Mguu Chini Ushirikishwaji Wa Wanawake Katika Amani, Ulinzi Na Usalama

Makamu Mkuu OUT: Elimu ya Masafa Yahitaji Nidhamu ya Hali ya Juu

Mkenda: Bunifu Zigeuke Bidhaa Na Biashara

Rasmi Leo DSM Kuanza Biashara Saa 24

RC Dodoma Atoa Maagizo Kwa Ma – DC Kuhusu Ukame

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Serikali Yaanza Mikakati Ya Kukabiliana Na Wanyamapori Wakali, Waharibifu
Next Article Kanisa Laitaka Serikali Kuchukua Hatua Dhidi ya Rushwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

VETA kumpa nafasi Igobeko kuongeza ujuzi na kuwawezesha wengine
Habari August 23, 2026
Airtel Yajenga Darasa La Fursa Katika Shule Ya Sekondari Magaoni,Tanga
Habari August 23, 2026
Bunifu ya dawa ya mayai yapunguza hasara kwa wafugaji wa kuku
Makala August 22, 2026
Dkt Yonaz Awakumbusha Vijana Kulinda Afya Zao Katika Mapambano Dhidi Ya Ukimwi
Habari August 22, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?