MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Balozi Seokolo Atoa Wito Kuimarisha Biashara na Viwanda Kanda ya SADC
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Balozi Seokolo Atoa Wito Kuimarisha Biashara na Viwanda Kanda ya SADC
Habari

Balozi Seokolo Atoa Wito Kuimarisha Biashara na Viwanda Kanda ya SADC

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano ya Afrika Kusini, Balozi Tebogo Seokolo, amezihimiza Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuchukua hatua madhubuti za kukuza zaidi mtangamano wa kikanda,
Kwa kuongeza kiwango cha biashara baina ya nchi hizo kutoka kiwango cha sasa cha asilimia 23.
Ametoa wito huo wakati wa Mkutano wa Kamati ya Makatibu Wakuu wa SADC ulioanza jijini Pretoria, Afrika Kusini, leo Machi 7, 2026, chini ya uenyekiti wake.
Habari Picha 11348
Katika hotuba yake, Balozi Seokolo amesisitiza umuhimu wa Nchi Wanachama kuimarisha sekta ya viwanda, akibainisha kuwa sekta hiyo inaendelea kukua kwa kasi na kwa sasa inachangia takribani asilimia 11 ya pato la ndani (GDP) la nchi za SADC.
Aidha, ameeleza umuhimu wa kuboresha miundombinu, hususan barabara, ili kurahisisha usafirishaji, mwingiliano wa watu na biashara ndani ya kanda.
Pia amesisitiza umuhimu wa kuimarisha usalama wa chakula na lishe, akieleza kuwa takribani watu milioni 58 katika kanda ya SADC wanakabiliwa na changamoto ya uhakika wa chakula.
Habari Picha 11350
Kwa upande wake, Kiongozi wa Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaib Mussa, ameeleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha maeneo hayo kwa kushirikiana na Nchi Wanachama wa SADC.
Habari Picha 11351
Habari Picha 11352
Habari Picha 11353
Habari Picha 11354
Habari Picha 11355
Habari Picha 11356
Habari Picha 11357

You Might Also Like

Salum Mwalim: Hakuna Mtu, Taasisi Inayoweza Kuzuia Uchaguzi

TBA Yakaribisha Wawekezaji Kushiriki Miradi Mikubwa ya Ujenzi

Ridhiwani Aipongeza Mahakama Kuzingatia Ajira Kwa Wenye Ulemavu

Wakulima Wa Mahindi Mvomero Walia Na Viwavijeshi Vamizi, Watafiti SUA kupitia Mradi Wa AGRISPARK Kuokoa Jahazi

Polisi Yatoa Onyo Kali Kwa Waganga wa Tiba Mbadala

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mkunda: Wanawake Wapewe Nafasi Katika Uongozi wa Vyama vya Wafanyakazi
Next Article Nyamhokya Atoa Wito kwa Wanawake Kusimama Imara Kiuchumi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TASFAM Yawawezesha Wanawake wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Kuadhimisha Siku ya Mwanamke
Habari March 9, 2026
Nyamhokya Atoa Wito kwa Wanawake Kusimama Imara Kiuchumi
Habari March 7, 2026
Mkunda: Wanawake Wapewe Nafasi Katika Uongozi wa Vyama vya Wafanyakazi
Habari March 7, 2026
Mifugo Mingi Chanzo Cha Uchafuzi Maji Ziwa Victoria
Habari March 6, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?